Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Viwanjanni vya SERIKALI na si CCM, wao wamevipora tu na kuandika hati.CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa.
Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili vijana wavitumie.
Viwanja vinapoteza hadhi na mpira hauchezeki kwenye viwanja hivyo wakati CCM inayo Sera ya kukuza michezo.
siku ipo na saa inakuja ambapo mali zote za nchi zitarudi.
CCM KIRUMBA, NANGWANDA SIJAONA, SHEIKH KARUME ARUSHA , SAMORA IRINGA NI MALI ZA WATANZANIA WOTE, ILA CCM WAMEJIMILIKISHA,