kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
CCM ni chama kikubwa na kikongwe kinachoongozwa na watu wenye weledi mkubwa.
Hivyo CCM hakiwezi kufa au kushindwa kujiendesha kama kitarudisha serikalini viwanja vya mpira inavyovimiliki ili vijana wavitumie.
Viwanja vinapoteza hadhi na mpira hauchezeki kwenye viwanja hivyo wakati CCM inayo Sera ya kukuza michezo.