Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Mwaka huu iwe mwisho wa upinzani uchwara Tanzania kuingia kwenye uchaguzi kama hisani ! Wagombea ATI hawajui kujaza fomu ! Au Kuna mahali mtu anapita bila kupingwa ,au tunasikia mpinzani anatishiwa polisi ,iwe mwisho kusikia stori za kuibiwa kura za ubunge na udiwani ,iwe mwisho mapolisi kutishia wapinzani kwa kisingizio Cha kuvuruga amani ,uchaguzi sio honeymoon Wala sio party ya harusi !
Tunahitaji kuiondoa ccm madarakani hata kama ni kwa njia ya kupoteza viungo vya miili yetu ! Ccm inatumia uoga wetu kama daraja la kutunyanyasa ! Mwaka huu bunge liwe na asilimia 60 ya wabunge wa upinzani !!
Hatuhitaji kutuletea mgombea urais kwa kigezo Cha urafiki ,undugu ama historia ya nyuma ,mgombea wa upinzani lazima awe katapila kweli kweli ,ccm hata wakishinda iwafanye wawe na adabu na wajifunze kuheshimu upinzani ,nasema hata wakishinda lakini Cha mtema kuni lazima wakione ,naamini tukiwa serious tutawalaza na viatu kuanzia udiwani ubunge mpaka uraisi