CCM pawaka moto Dodoma

Asnte sana best kwa kutu apdeit. Hawa jamaa wanatuchezea tu. Hiki chama si kife tu na Lowassa alest in peace tatizo CCM hakuna wazalendo. Huku kenya jamaa hawafichani wala nini. Praimu minista akitmtimua minista prezida anamrudisha hakuna woga but for CCM eti wanalinda umoja wa chama. shwaini!
 
hata kwa kuongezewa muda -hakuna lolote,lakini CCM kuna ufa tena mkubwa,mwenyekiti ajaribu kuziba nyufa hizo,jmba lisije dondoka mikononi mwake-tutamkaumu,sana kwani CCM tunaipenda sana,lakini sasa tunafikia ukingoni.

kwa lipi mkuu?
 
Mhh!!!!! mambo kweli kweli kwa data hizi inaonyesha Pasco kilewo na wa16 wanajuana kwa karibu sana wanapeana data kila wakati yetu macho tunasubiri.
.
Japo nilikuwa Dodoma na hapo White House huwa naenda, simfahamu kilewo wala wa 16, ila jamaa nimewakubali sana, maana bado sipati picha, reporting live from within!, this is not a joke!. I was just thinking aloud and formulating my own hypothesis na modus operandi yao humo ndani kwenye manyoka tele tena wale wenye sumu kali! Nimewavulia kofia!
 
anachanganya


Mkuu kwa record ya masaa sita na kuendelea, audio ya 4GB inawezekana hasa ikiwa amerecord katika WAV formart high quality kitu ambacho si cha muhimu sana hasa pale unapotaji just sauti tu ya kuelewa mtu aliongea nini.
Ila kwa aina hiyo ya most sofiscated device aliyonayo (kama ni kweli) bila shaka itakuwa inarecord audio katika MP3 au other audio formats kwa sababu atatakiwa kurecord kwa muda mrefu na kukeep capacity(in Gbs au Mbs) kuwa ndogo as much as possible
.
 
J.Mushi, thanks, very objective.
 
Waongezeeni tu na allawansez wapeni si ndivyo mlivyoamua kuila nchi?
 
Kurasa 19 zazungumzia mvutano kati ya Mafisadi na Wapiganaji.

Nikiweka mizani kupima joto na hali halisi ya Tanzania ndani ya CCM nitasema suala la Muungano na Serikali ya Mseto Zanzibar lipo juu na la muhimu kuliko eti Lowassa afukuzwe uanachama.

Mtazamo wangu ni huu kuhusu kikao hiki na nitaupanga kwa Umuhimu wake.

1. Suala la Zanzibar na Muungano
2. Chama kipya cha Upinzani CCJ
3. Uchaguzi Mkuu 2010
4. Ripoti ya Mwinyi (Ufisadi v/s Upiganaji)
5. Bajeti ya Serikali 2010

Lakini kwa kuwa CCM hakina mwelekeo, sitashangaa kuwa wamepoteza muda kusutana na kutunishiana mishipa na misuli halafu wakimaliza kikao, bado watu wana madonge na mihasira iliyojaa ugwadugwadu!
 
Rev Kishoka, maadam hiki ni kikao na kikao kina mwenyekiti anayekiendesha, huku kuwekana mpaka usiku wa manane, ni uthibitisho tosha Mwenyekiti is too weak, badala ya kuendesha kikao, yeye ndiye anayeendeshwa na makundi humo ndani, ukijumlisha na tabia za Pwani kukalia umbea na majungu kila kukicha, humo ndani sasa hawasutani tena, mwisho wa msutano ni mpatano, wagombanao ndio wapatanao, wameshamaliza tofauti zao, sasa wamekalia kupiga soga tuu, na jamaa asivyoliwa na nidhamu ya muda, tusitarajie lolote la maana, mimi naona bora nijilalie kama usingizi nao utakuja! .
Alamsiki!.
 

Please pasco sisi ni watu wazima inabidi sasa tuelezane ukweli unasema huwajui kilewo na wa 16 mbona inaonekana una data zao nyingi sana kwa akili ndogo katika post yako hapo juu ya 178 umesema nanukuu
- huyo mwenye 4GB sound recorder ana tenda ya kurecord officialy humo ndani, umejuaje?
- umesema by now wameshamjua huyo anayeleta info leo hawatamruhusu kutoka na kitu, umejuaje?
- ukasema kashindwa kutaja majina kwa sababu hawajui, kweli hawajui? hata sophia simba
- ukasema walijiunga na JF wiki iliyopita kwa sababu walijua vikao vitakuwa wiki hii walikueleza sababu ya kujiunga na JF

yote haya umejuaje kama hufahamiani nao nachelea kusema isije kuwa pasco ndiye kilewo ndiye wa 16 kwa sababu umekuwa concern sana na wao
 
.
Luteni, nimesema, na ninasema tena siwajui! ila I was just thinking aloud and formulating my own hypothesis na modus operandi yao humo ndani.

Yote hayo nimefikiria tuu, assumptions nothing more, nothing less, ila pia, siwezi kuzuia fikra za mtu.
Kitu kimoja naomba nikuhakikishie Luteni, I take JF very seriously na kuitreat with much respect, mimi sio miongoni mwa wasanii humu ndani wenye mi ID kibao na wengine huleta maigizo ya kujiuliza na kujijibu, mimi ni Pasco tuu na Pasco ni mimi ingawa hili nalo ni pen name sio jina halisi!.

Ukimya wa hawa jamaa, unanipelekea kuamini ni kweli kwa jinsi nilivyo wafikiria.
 
Wategemezi wetu wote wawili, kilewo na 16 wamesha sign off, hata hivyo nimeongea na mdau mmoja yuko pale nje ya ukumbi, amenijulisha game bado ni bila bila!.
 
CCM ilikufa na marehemu J K Nyerere, kwa wale mnaokumbuka siku Aboud Jumbe alivyotolewa nishai Dodoma na kurejea Dar jobless yaani kukiwa na kikao ni kikao na matokeo yanaonekana hakuna kutafuna fweza za walipa kodi kwa ngonjera.

Hivi sasa tuna Chama Cha Majambazi ati kuna mawaziri wastaafu kibao pamoja na marais wastaafu na hakuna kazi yoyote ni porojo tu. Ujinga mtupu maswala ya EL na RA yako wazi sasa wanatafuta mbinu ya kuwadanganya wadanganyika kazi kweli kweli ndio sababu nchi haiendelei. Kama wanaweza kupiga porojo kwenye mambo yaliyo wazi wataweza yaliyojificha.
 
.
EL na RA.. we acha tuu, "He who pays the piper...." anachofanya Mkulu, is just to dance the tunes, The King Maker is the one calling the shots!.
 
Vigezo vyenu vya kupata proof vimekaa kiupande upande. Suppose jamaa akaamua kuweka majina, mfano akasema Anne Kilango kasema hivi, Mpendazoe kasema vile au Mwakyembe kasema vile, je hiyo itakuwa prof kwako. Ni ama unaamua kuiona habari yote kuwa uzushi au unaiona ina ukweli ndani yake. Names or names doesn't matter.
 
FMEs,
Respect,
Mkuu kukodisha Ndege toka DAR to DODOMA ni bei gani?
Sidhani kama ghama hiyo yatosha au ni kubwa mno kiasi cha kumnunua na kumweka Rais mikononi, mwa yeyote yule alielipia nauli hiyo, na naamini hao watu wawili wasingeshindwa na gharama hiyo ya ukodishaji.
Na huo utamaduni wa kupokezana Urais kwa zamu ya Mwislam then Mkristo anaujua Lowasa pekee au unajulikana na kila Mtanzania?
Mkuu para ya mwasho umetaja neno Ndoto, naamini kwa nafasi ya Uraisi Lowasa ataendelea kuwa ndotoni.
Respect.
 


- Wakuu heshima mbele sana, sasa ni usiku sana wakulu wote wameenda kulala, shughuli zimekua nyingi sana lakini by kesho tutatafuta exactly kilichojiri huko ndani, ingawa nimeona kuna waliojaribu kuleta dataz za kikao, waletaji wa hizo dataz hawakuwa na sababu ya kusema wanazo kanda za kikao, that was a liitle over the board lete dataz tu JF we are very good at reading betweeen the lines, na at the end of the day jamani hawa ndio wananchi tunaowalilia kuwakomboa huu ni mkutano wa CCM jana tu!

- I mean think about it huu mkutano ni jana tu, sio mwaka juzi wakati Muungwana anaingia urais, ni jana tu baada ya bunge kumsafisha Lowassa, jamani tuna kazi kubwa ana ndefu sana mbele yetu, tusikate tamaa!

Respect.


FMEs!
 


Wako wengi hawa wanafuata upepo tu. Ndio wale asilimia 70... ... ... LOL
 


Rahisi sana.
wala usiumize kichwa ktk hilo,technologia ya leo iko mbali sana. Labda sema tu jamaa alikuwa anachemsha jamaa wa jf. Lakini hilo la ku-report very simple.
 
CCM imvue uanachama Waziri Mkuu wa zamani...!!!

Please tell me you guys are joking.
 
Mkuu Pasco,
Sio kweli kuwa UWT wameweka jicho JF 24/7 nakupa habari yenye uhakika 99% Kuna haja ya kutafuta mbinu nyingine ya kuwafanya washughulike. Hizi tunazopiga hapa ni kelele za Mlango................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…