CCM pawaka moto Dodoma

at that time fear subjectiowas the only considered reason for ur backing up
 
Ule waraka ungechapwa kwenye magazeti ndiyo watu wangejua nini kimetokea Dodoma. Wanaweza kuwaongezea muda hadi milele lakini kuna watu wanakidai chama chao toka mikononi mwa mafisadi; na hawawezi kamwe kupatana nao!
 

Very true Mkuu.

''Tuibi'' - ''退 避'' - retreat from danger/enemy. Hii ni moja kati za silaha muhimu sana katika vita.

Katika vita ni muhimu kuwa mwepesi kubadilika kutokana na hali ya uwanja wa vita lakini kwa lengo la kushinda. Usitafute sifa vitani, tafuta ushindi.

''Oak tree very hard and stable, bamboo flexible not stable.
Yet a strong wind blows an oak tree down, while a bamboo tree bend- retracts. Then springs back stronger.


- Chinese Proverb

 
Pasco hoya! hawa washikaji wako vipi? Au mmeshamaliza kazi
 
Hawa wanataka kusikia mawazo ya watu. Kaeni kimya msiwape majibu
 
Jameni eheeeeeeeeee

Hii ndiyo Siasa. Mi nnichoka kabisaaaa na nchi hiiiiiiiiiii
 
Hivi mnafikirio hawajui wanachokifanya

Things have to Move and Maisha lazima yaendeleee

Fulu Sitopu
 
Hivi ule moto tulikua tunahadithiwa jana ushazimika?....labda sio kila pafukapo moshi pana moto
 
ule usemi usemao ipo siku, nijana baada ya msuguana wa muda mrefu muafaka ukashindwa kupatikana na hivyo chama kuendelea kukalia kuti kavu, kamati ya mzee mwinyi kupewa tena mamlaka ya kutafuta shuluhishi mpaka mambo yawesafi, wajumbe wengi wamegoma wanasema hawataki wanataka mafisadi wafukuzwe uanachama, ndiyo mambo mengine yaendelee yaliyo toka kwenye vyombo vya habari ni uongo walivitumia kutuliza ghasia tu kwa umma kweli ni kwamba mambo sishwari kwa sasa,
 
inatakiwa isambaratike haihitajiki tena kwa taifa hili
 
CCM Oyeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji!!!!!!!! Maji ya moto hayaunguzi nyumba!!!!!!!!!!!! Kelele za mpangaji hazimnyimi usingizi mwenye nyumba. Subirini hadi 2015 labda ndiyo yatatokea mabadiliko. Sasa hivi mlie tu.

MPO WASHIKAJI ??????? Hata mkinuna haisaidii. Bye.
 
kilewo nakuunga mkono, haitakiwi tena katika nchi hii! imeshindwa kusimamia maslahi ya taifa,zaidi sana ni ushkaji na uswahiba tu ndio kitu kinachoendelea kwa sasa kwenye kupeana madaraka!
 
weka substances zinazofanana na kichwa cha habari sio unaweka herufi tu na spaces between....

unaongea kama bi kidude bwana!!! eniwei na wewe ni mzee kwahiyo labda ni mashwahiba
 
Mambo gani mengine yameamuliwa kwenye kikao cha NEC? Ratiba ya uteuzi wa wagombea udiwani, ubunge na urais ikoje?
 
kwakweli hali ya CCM inatia huzuni kwa watanzania wenye upendo na nchi yao
 
Sina shaka na kile kinachoendelea Dodoma, wote tunajua 'THE SOURCE OF CHANGE' ni MISUGUANO NDANI YA CHOMBO HUSIKA. Nasema chombo husika yawezekana ikawa Jamii, Chama au Taasisi. Remember during SLAVE ERA, conflict arised between SLAVE MASTERS vs SLAVES, during FEUDALISM (LANDLORDS vs WORKERS), during CAPITALISM (CAPITALISTS vs PROLETARIANS). Now in CCM (FISADIS vs NON-FISADIS).

The conflicts which thwarted slave, feudalism and capitalism brought about changes in those systems to the extent of causing the emergency of new systems. Today we are witnessing the same patterns in CCM, where there is strong conflicting parties between FISADIS vs NON-FISADIS, I hope the existing system of FISADILISM is becoming to an end, what we are going to witness is the born of new system, the system that will restore the lost hope, the system that will light candle for every Tanzanian to see the way for development, the system which will create welfare for all citizens. ENDELEENI KUSUGUANA, PIGANENI NGUMI, MNUNIANE SANA, MSISALIMIANE KILA KUNDI LICHUKUE MSIMAMO WAKE, KUNDI LITAKALO WINI NI LILE LITAKALOUNGWA MKONO NA WENGI
 
Kila kitu kina Mwisho wake...............walikuwa hawalijui hili kwani Hata za Mwizi ni 40
 
Kwa mtu yeyote anayeona mbali ni kuwa CCM kama chama kilisha kufa kiroho kinachotembea na kuongea ni kiwiliwili.

Tatizo linaloonekana ni kwamba kila mtu ameamua kuzikwa nayo.

Wakuu wa chama hawaangalii mbali Mpasuko uliotokea hauwezi kuzibwa kamwe ni kupoteza muda.

Wakati wa usuruhishi ulikwisha zamani sasa ni utendaji. Na mzee mwinyi anatwisha msalaba asiyoweza kuubeba. Mzee mwinyi anatakiwa kutoa tamko la yuko upande gani, Msekwa yuko wapi nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…