Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
jamani ya jana yalikuwa makubwa sana dodoma ccm ndiyo mwisho
.Naona sasa unaifanya JF kama sehemu ya majaribio. Weka data zinazoeleweka, sio kusema tuu CCM ndiyo mwisho. Sasa hapo ndio unamaanisha nini? Audio recordings zenu ziko wapi? Hapa naona hamna ukweli wowote...Pasco jitoe kuwatetea hawa jamaa. Kuna harufu ya kutumwa kupima wana JF na kuwapoteza. Hilo wasahau kwa kweli.
Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
jamani ya jana yalikuwa makubwa sana dodoma ccm ndiyo mwisho
Mwaka huu Lowasa atawaonesha jinsi siasa zinanyo chezwa.
.
Luteni, nimesema, na ninasema tena siwajui! ila I was just thinking aloud and formulating my own hypothesis na modus operandi yao humo ndani.
Yote hayo nimefikiria tuu, assumptions nothing more, nothing less, ila pia, siwezi kuzuia fikra za mtu.
Kitu kimoja naomba nikuhakikishie Luteni, I take JF very seriously na kuitreat with much respect, mimi sio miongoni mwa wasanii humu ndani wenye mi ID kibao na wengine huleta maigizo ya kujiuliza na kujijibu, mimi ni Pasco tuu na Pasco ni mimi ingawa hili nalo ni pen name sio jina halisi!.
Ukimya wa hawa jamaa, unanipelekea kuamini ni kweli kwa jinsi nilivyo wafikiria.
Pasco hilo la Sitta kutoka nje ni la kweli kuna gazeti moja la hapa Tanzania nadhani ni Mwanachi limeripoti kuwa Sitta, Anna Kilango, Dr Mwakyembe walitoka nje na wakaingia kwenye ofisi moja na humo walikaa zaidi ya saa moja na nusu wakijijadiliana na badaye walirudi kwa nyakati tofauti akianza Mwakyembe, baadaye Kilango na mwisho Sitta.
Mimi hawa jamaa wa 16 na mwenzake Kileo naamini sehemu kubwa waliyokuwa wakiongea ni ya UKWELI ila sijui wanaongea kwa maslahi ya nani! Saa nyingine huwa najiuliza hawa jamaa wanaoshinikiza akina wa 16 walete vitu ni kweli wanavitaka hivyo vitu au 'kimtindo' hawavitaki na wanachofanya ni vitisho vya 'kimtindo??
JF!!!! I dare to listen!!!