Hivi ndugu yangu kilewo... ndio taratibu za chama chenu kutoa kila siri za kikao? au ni vipi? naona kila wakibana nyeti zinatoka nje
next time ntawashauri wakafanyie kikao mikese huko
..... ni kweli unachosema au labda memba huyu amekuwa na safari nyingi za kwenda maliwatoni na kutuhabarisha....Wana JF mbona mnadanganyika kirahisi hivyo? Huyo mtu kama yuko kwenye kikao hawezi kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe JF mpaka watoke. Hawaruhusiwi kuwa na simu humo.
Pia suala la tume ya Mwinyi inasemekana lilijadiliwa jana.
Kuna watu wako hapa kudanganya JF.
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,
- Pia ndani yao kulikuwa na kikundi kimoja kilichokuwa kinataka kuisukuma ishu ya Richimond kupelekea kwenye vote of no confidence kwa Waziri Mkuu na Rais, ambapo wangemlazimisha Rais kuvunja bunge sasa na kuamuru uchaguzi mpya, kunusuru hilo ndio hasa sababu ya makubaliano ya amani kati ya mafisadi na wabunge wengine, kwa kifupi maamuzi ya kueplekea hiki kikao yalikuwa yameshaamuliwa kwenye vikao vya siri kabla ya hiki kikao.
- Kwa kifupi ni kwamba kikao hiki hakikuwa na lolote la maana kwa masilahi ya taifa letu, kilikuwa ni kikao cha kulindana ili kushinda uchaguzi, was the number one priority.
Respect.
FMEs!
yaani nimecheka mpaka basi.... kweli hii kali ya mwakaHaitasaidia hata wangefanyia chini ya ardhi tutajua tu....
Hapa tulipofika, ili Taifa liendelee kuwa imara basi CCM lazima ikubali kuwa weak. Ikiendelea hivi ilivyo hatutakuwa na Taifa imara.Litakuwa ni Taifa la scandals, watu wasio na elimu na wajinga, watu wagonjwa wasio na tumaini la kupata msaada wa kitabibu wa magonjwa yao, na kubwa kabisa la yote, ni kuanza kujenga Taifa la washirikina ambao wanaamini kapiga kupiga ramli na uganga ili mambo yaweze kwenda.Bila ccm imara Kuna TANZANIA imara
Hapa tulipofika, ili Taifa liendelee kuwa imara basi CCM lazima ikubali kuwa weak. Ikiendelea hivi ilivyo hatutakuwa na Taifa imara.Litakuwa ni Taifa la scandals, watu wasio na elimu na wajinga, watu wagonjwa wasio na tumaini la kupata msaada wa kitabibu wa magonjwa yao, na kubwa kabisa la yote, ni kuanza kujenga Taifa la washirikina ambao wanaamini kapiga kupiga ramli na uganga ili mambo yaweze kwenda.
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,
- Pia ndani yao kulikuwa na kikundi kimoja kilichokuwa kinataka kuisukuma ishu ya Richimond kupelekea kwenye vote of no confidence kwa Waziri Mkuu na Rais, ambapo wangemlazimisha Rais kuvunja bunge sasa na kuamuru uchaguzi mpya, kunusuru hilo ndio hasa sababu ya makubaliano ya amani kati ya mafisadi na wabunge wengine, kwa kifupi maamuzi ya kueplekea hiki kikao yalikuwa yameshaamuliwa kwenye vikao vya siri kabla ya hiki kikao.
- Kwa kifupi ni kwamba kikao hiki hakikuwa na lolote la maana kwa masilahi ya taifa letu, kilikuwa ni kikao cha kulindana ili kushinda uchaguzi, was the number one priority.
Respect.
FMEs!
Yaani kwenye hicho kikao hoja ya msingi ni kuhusu Lowassa? mnataka tuaamini kuwa CCM imechafuliwa na Lowassa? Before Richmond CCM ilikuwa safi? I dont think Lowassa ni hoja itakuwa hamtendei haki....the whole system is broken, inatakiwa kusukwa upya....Kuna kashifa za Rada, IPTL, ndege ya Rais, TRC/TRL, ATCL, Kiwira, SUKITA, Buhemba, Williamson, Songo songo, .name it...hizi hazichafui ila Lowassa...
Duh,mkuu Field Marshall Es uko wapi? maanake unamwaga dataz mkuu wangu.Hebu rekebisha comrade!
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,
FMEs!
.- Mkuu wangu ni yale yale tu tunaendelea kupigwa bao tu! ndio maana ninataka nitafute mahali pa kuingilia October maana inachosha sasa tuingie wenyewe tu huko ndani!
Respect.
FMEs!
Ndugu yangu usifikiri Lowassa ni mtu mmoja unapotaja EL ni system mtandao mkubwa na hakuanza leo kama unavyotaka kusema kaanza kujijenga zamani enzi za Nyerere na Nyerere alikuwa anamjua vizuri ndiyo maana akamzuia kugombea urais yote hayo unayosema sijui IPTL TRL SUKITA ATCL Kiwira you name it mkono wa EL upo
- Briefly, ni kwamba hakuna lolote la maana, hawa kabla ya kwenda huko walikuwa tayari wamekaa kikao cha siri wakakubaliana kwamba wayazime yote ya kero za wananchi mpaka uchaguzi utakapoisha kwa makubaliano kwamba mafisadi hawatagusa majimbo ya wabunge wasio kwenye kundi lao,
- Pia ndani yao kulikuwa na kikundi kimoja kilichokuwa kinataka kuisukuma ishu ya Richimond kupelekea kwenye vote of no confidence kwa Waziri Mkuu na Rais, ambapo wangemlazimisha Rais kuvunja bunge sasa na kuamuru uchaguzi mpya, kunusuru hilo ndio hasa sababu ya makubaliano ya amani kati ya mafisadi na wabunge wengine, kwa kifupi maamuzi ya kueplekea hiki kikao yalikuwa yameshaamuliwa kwenye vikao vya siri kabla ya hiki kikao.
- Kwa kifupi ni kwamba kikao hiki hakikuwa na lolote la maana kwa masilahi ya taifa letu, kilikuwa ni kikao cha kulindana ili kushinda uchaguzi, was the number one priority.
Respect.
FMEs!
- Mkuu wangu ni yale yale tu tunaendelea kupigwa bao tu! ndio maana ninataka nitafute mahali pa kuingilia October maana inachosha sasa tuingie wenyewe tu huko ndani!
Respect.
FMEs!
Cha kujiuliza ni kitu gani ambacho Lowasa amefanya na ambacho wao hawajafanya? Lowasa hayupo serikalini na ufisadi unaendelea, inawezekanaje suluhisho la ufisadi liwe ni kumtosa Lowasa ndani ya CCM na sio kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti rushwa na kuadhibu wala rushwa wakati wote? Watu 'tukuage' basi nasi ahaa!!
Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa