Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo ninapomkumbuka Mwl.Nyerere,watu wasingecheza makida makida kama hayo eti chama ndicho kichafu loo salaree,kwanza kikao kingeisha zamani na watu wamesharudi kuchunga ng'ombe.Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
Hivi huyu jamaa aliyetuma huu ujumbe, ametuma kwa kutumia simu au LAPUTOP?
Jina lake hasa ni nani na alituma akiwa wapi?
Next Level, mzee wa cristalball, hebu unganisha dots utupe wasifu wa mtuma ujumbe maana nasikia kwa kuunga dots na kufahamu huyu ni nani, wewe ni namba moja........
Wajumbe wasema Lowassa awajibishwe kwakuwa chama kimechafuka sana na asipo wajibishwa wasilaumiwe kwa yale yatakayo tokea.
Upande wa Lowassa wasema hamna cha kumuwajibisha Lowassa kama ni suala la ufisadi chama kiwajibike na si Lowassa
Sasa kama anaharisha atawezaje kuandika habari kirahisi hivyo,kwani wewe hujui tumbo lilivyo?!..... ni kweli unachosema au labda memba huyu amekuwa na safari nyingi za kwenda maliwatoni na kutuhabarisha....
mkulu kaingilia kati kamkalisha chini mh. mbunge wa bukoba.(simtaji jina) kamwambia '' unakoelekea ni kutukana matusi ya nguoni, kaa chini''
mh. huyu ameongea juu ya mambo kibao yakiwamo
1. serikali hashugulikii taarifa za kiusalama, inazopewa. ikulu kuna mafaili mengi lakini hayajashugulikiwa.mfano kasema pale BOT kuna hawa watu kibao lakini pesa zinaiibiwa. kkuna mahali kasema nchi inalindwa kwa bunduki lakni siku hizi vitu hatari ni Flash disk, laptop .
2. ameeleza kubebana kumelifikisha taifa hapa lilipo

Kitila umezungumza point lakini ina upotofu.Cha kujiuliza ni kitu gani ambacho Lowasa amefanya na ambacho wao hawajafanya? Lowasa hayupo serikalini na ufisadi unaendelea, inawezekanaje suluhisho la ufisadi liwe ni kumtosa Lowasa ndani ya CCM na sio kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti rushwa na kuadhibu wala rushwa wakati wote? Watu 'tukuage' basi nasi ahaa!!
Hakuna kitu kama hicho hakuna baya alilofanya Lowassa kama lipo angepelekwa Mahakamani. Lowassa ni mchapakazi, alikuwa hacheki na Mtu Wakuu wote wa Wilaya na Mikoa walikuwa wanahaha wakisikia Waziri Mkuu Lowassa anawatembelea sasa hivi ni kama hakuna kitu na hii ndiyo iliyomjengea maadui zaidi ya hapo ni chuki binafsi tu.
Acha hizo wewe, mimi niko dodoma hakuna kitu kama hichoCCM ipo hoi huku Dodoma wengine washaanza kuchanganyikiwa kwa haya yanayotaka kujiri kwanza M/kiti wa CCM taifa hana hamu kabisa leo anatamani yaishe ila wajumbe wamembadilikia mpaka aibu