mh 6 amekunywa maji glasi 1 na nusu kama dk 20 zilizopita na baada ya hapo katoka humu ukumbini hajarudi
Ukiona hivi basi ujue mambo mazito humo mjengoni,lakini kadhia hii inatia kinyaa yaani CCM inafika mahali inashindwa kufanya maamuzi ya maana hii kweli inasikitisha.
Jambo moja ni dhahiri nalo ni kwamba Mkuu wa nchi bado anakula na mafisadi ndio maana anayumbishwa katika kufanya maamuzi ya maana kwa manufaa ya nchi.Kwa hakika ameonyesha udhaifu uliopindukia na hastahili kuliongoza Taifa hili katika awamu ijayo.Kinyaa hiki kimetosha.