wa 16
Member
- Feb 10, 2010
- 55
- 0
nilikuwa off line kwa mda nimerud tenaWewe 16 acha kuseveza watu hapa jamvini kama uko mjengoni mwaga data hapa acha porojo.Tueleze nani kasema nini na response imekuwa vipi.Mara ya mwisho ulitueleza mzee 6 alikuwa anakunywa maji sana na ametoka nje ya mkutano.
Je amerudi na kilichomfanya anywe maji kwa wingi ni nini wakati yeye ni mjumbe tu kama wajumbe wengine au mwelekeo ni kwamba mafisadi wanapata ushindi ndani ya kikao kwa hoja nzito nzito.Toa data kama uko mjengoni.
hapo mwanzo nilisema hivi kundi la lowasa lina nguvu sana na wanaongea sana na kimsingi inaonekana kuwa wengi wa wapinga ufisadi kuna baadhi yao wamefika hapo walipo kwa msaada wa mafisad sasa kuchangia moja kwa moja ni ngumu kwa kuna watu hawajaongea lolote. upande wa hawa wapinga ufisadi kuna mmoja tu ndo kawataja majina kabisa akasema wewe lowasa, rostam ninyi ni watu wawili munaoyumbisha chama hiki
ki msingi kundi la mafidadi litashinda upepo unajionyesha, usitarajie mtu kuwajibishwa hapa, hata mkulu mwenyewe kuna mambo mengi alikuwa hayajui amabo ki msing alipaswa kuyajua kama mkuu wa nchi.
rais amekiri wazi kuwa kuna mahali alifanya makosa kwa kusikiliza ushauri wa mtu tena kiongoz na kwabadilisha nyazifa waziri nishati yule wakwanza(kweye awamu y kikwete) na pia mkurugenzi mmoja toka wizara ya elimu.alipogundua kuwa amedanganywa alfadhaika sana,
6 alisharudi ndani, ni kweli yeye ni mjumbe lakini lakini kuna mahali alizongwa zana na kundi la mafisadi, kila aliyesimama kuchangia wa upande huu alisema spika ndiye chanzo, wengi mchonganishi, ana watu wake bungeni nk nk na ndio kipindi hiki alitoka nje kwa mdaa baada ya kunywa maji.