CCM pawaka moto Dodoma

CCM pawaka moto Dodoma

mh 6 amekunywa maji glasi 1 na nusu kama dk 20 zilizopita na baada ya hapo katoka humu ukumbini hajarudi

Ukiona hivi basi ujue mambo mazito humo mjengoni,lakini kadhia hii inatia kinyaa yaani CCM inafika mahali inashindwa kufanya maamuzi ya maana hii kweli inasikitisha.

Jambo moja ni dhahiri nalo ni kwamba Mkuu wa nchi bado anakula na mafisadi ndio maana anayumbishwa katika kufanya maamuzi ya maana kwa manufaa ya nchi.Kwa hakika ameonyesha udhaifu uliopindukia na hastahili kuliongoza Taifa hili katika awamu ijayo.Kinyaa hiki kimetosha.
 
Hakuna kitu kama hicho hakuna baya alilofanya Lowassa kama lipo angepelekwa Mahakamani. Lowassa ni mchapakazi, alikuwa hacheki na Mtu Wakuu wote wa Wilaya na Mikoa walikuwa wanahaha wakisikia Waziri Mkuu Lowassa anawatembelea sasa hivi ni kama hakuna kitu na hii ndiyo iliyomjengea maadui zaidi ya hapo ni chuki binafsi tu.
Minja,
Naona wazo lako zuri sana la kuwa kwa vile Lowassa hakupelekwa mahakamani ni kwa sababu ya usafi wake na sio kwa uwezo wake wa kujijengea kuta ndani ya serikali ili zimlinde. Alipohapohakikisha kuwa school mate wake ni bosi wa TAKUKURU, alikuwa anajua wazi kuwa chunguzi zozote za rushwa zake kwenye issue kama Richmond zitazimwa.

Lakini kama Lowassa alipoanza ufisadi wizara ya Ardhi na akajijengea mahekalu asiyoweza kueleza alikopata mtaji, sijui kwa nini leo hii awe sio mwizi hasa baada ya Nyerere aliyekuwa kipingamizi chake kututoka.
 
We are celebrating our wishful ideas...nothing more! Ngoja Chiligati atoke na taarifa yake ya umoja mpya!
 
huku ndani ukiangalia jinsi waheshimiwa walivyookaa utagundua makundi mawili.

cha ajabu ni kwamba mtu upande mmoja ukichangia mjumbe wa upande huo anapigiwa makofi sana na upnade mwingini hakuna makofi
 
Acha hizo wewe, mimi niko dodoma hakuna kitu kama hicho
Mzittto kabwela, acha hizo, unaweza kuwa Dodoma lakini sio ndani ya kikao, kilewo na wa 16 wako ndani ya kikao, naomba uiheshimu dhima hii kubwa waliyoipa JF kutupakulia hot toka jikoni.
 
- Mnasema huyu Lowassa kwenye hicho kikao was in any trouble, tizama alivyokaa mkao wa kula kula tu na kuona wengine wote sisi wajinga, huyu ni rafiki sana na Rais ndio maana anatucheka tu! maana wajinga ndio waliwao, halafu upinzani sijui wako wapi?

Respect.

FMEs!

Mzittto kabwela, acha hizo, unaweza kuwa Dodoma lakini sio ndani ya kikao, kilewo na wa 16 wako ndani ya kikao, naomba uiheshimu dhima hii kubwa waliyoipa JF kutupakulia hot toka jikoni.
hakuna lolote..........wanajenga tu umoja wao wa kihuni, nakuhakikishia hakuna malumbano.
Ngoja Chiligati atoke ndo utaugundua unafiki wa wa16
 
m/kiti anatoa anangalizo hapa baada ya mjumbe mmoja kusema hivi

'' mh rais unatakiwa kufanya maamuz mazito kwa faida ya taifa hili mimi nasema ukweli kabisa na Mungu Ni shahid mwenzio rais karume ana nia njema na zanzibar''

ndipo rais akaingilia kati na kusema '' mimi ndiye mwenye mamlaka ya mwisho katika nchi siendeshi nchi kwa kuangalia mwingine anendesha vip na pia humu ndani tumo kwa nia njema kwa hiyo tafadhali mh. changia mada kwa makini''

kuna ukimya flani ukatawala ndipo mh mjumbe akasema ''naomba niishie hapo''
 
- Mnasema huyu Lowassa kwenye hicho kikao was in any trouble, tizama alivyokaa mkao wa kula kula tu na kuona wengine wote sisi wajinga, huyu ni rafiki sana na Rais ndio maana anatucheka tu! maana wajinga ndio waliwao, halafu upinzani sijui wako wapi?

Respect.

FMEs!

FMEs,
Nakubaliana na wewe kabisaaa. Na sio urafiki tu, bali pia ni msiri wake mkuu wa jinsi JK aliyoweza kuingia madarakani (obvious kwa kutumia milungula). Naamini kabisa kuwa walikuwa wamejipanga kuwa JK akimaliza 10 yake, EL angemrithi.
 
m/kiti anatoa anangalizo hapa baada ya mjumbe mmoja kusema hivi

'' mh rais unatakiwa kufanya maamuz mazito kwa faida ya taifa hili mimi nasema ukweli kabisa na Mungu Ni shahid mwenzio rais karume ana nia njema na zanzibar''

ndipo rais akaingilia kati na kusema '' mimi ndiye mwenye mamlaka ya mwisho katika nchi siendeshi nchi kwa kuangalia mwingine anendesha vip na pia humu ndani tumo kwa nia njema kwa hiyo tafadhali mh. changia mada kwa makini''

kuna ukimya flani ukatawala ndipo mh mjumbe akasema ''naomba niishie hapo''

Ikiwezekana ingekuwa vizuri kama ungesema nani kachangia nini ili tupate picha nzuri ya yanayoendelea huko.
 
ngonjera tu hizo...

Nakubaliana nawe kabisa. Hawa CCM ni wasanii tu si ajabu Lowassa akawemo katika awamu ya pili ya Kikwete. Hawana lolote bali kutuzuga tu Watanzania.
 
Mzittto kabwela, acha hizo, unaweza kuwa Dodoma lakini sio ndani ya kikao, kilewo na wa 16 wako ndani ya kikao, naomba uiheshimu dhima hii kubwa waliyoipa JF kutupakulia hot toka jikoni.

Hakuna lolote mzee, hawa jamaa hizo data zao wanavyozitoa nafikiri wanatufunga kamba tu!!! Zijaziamini data zao.
 
m/kiti anatoa anangalizo hapa baada ya mjumbe mmoja kusema hivi

'' mh rais unatakiwa kufanya maamuz mazito kwa faida ya taifa hili mimi nasema ukweli kabisa na Mungu Ni shahid mwenzio rais karume ana nia njema na zanzibar''

ndipo rais akaingilia kati na kusema '' mimi ndiye mwenye mamlaka ya mwisho katika nchi siendeshi nchi kwa kuangalia mwingine anendesha vip na pia humu ndani tumo kwa nia njema kwa hiyo tafadhali mh. changia mada kwa makini''

kuna ukimya flani ukatawala ndipo mh mjumbe akasema ''naomba niishie hapo''

Ila sasa M/kiti ameshindwa ku-control mjadala kiasi hicho?hayo majibu aliyotoa nayo kuna walakini ,he could have done better than this.sasa hapo ametumia na vitisho ndani yake.kweli ilikua nuksi humo ndani!
 
Lakini kama Lowassa alipoanza ufisadi wizara ya Ardhi na akajijengea mahekalu asiyoweza kueleza alikopata mtaji, sijui kwa nini leo hii awe sio mwizi hasa baada ya Nyerere aliyekuwa kipingamizi chake kututoka.
.
Wizi ni kuiba kitu cha mtu/watu ambacho huna halali nacho bila mwenyewe kujua/ bila taarifa/kwa njia za udanganyifu.

Alichofanya Lowasa, Mkapa na baadhi yamafisadi, sio kuiba, bali kujitwalia mali ambazo zilikuwa hazina wenyewe. Hivyo wao wamechukua tuu, hawakuvunja sheria yoyote ndio maana hakuna hatua yoyote ya kisheria iliyochukuliwa dhidi yao.

Hawa wamechafuliwa tuu majina, hivyo kukichafua na chama, ndio maana chama chao lazime kiwalinde kwa nguvu zote, na kazi kubwa ya kuwasafisha inafuatia.

Jamani, kama mambo yenyewe ndio haya!, msishangae, 2015 ni EL!.

So EL is Clean, so do RA and the like, kama chama chao kitukufu cha CCM kilivyo safi na October tunakipa ushindi wa kishindo!.
 
Lowasssa anaweza kupewa U-PM tena au mambo ya nje.lol.au balozi wa kudumu UN.
 
Hivi mkuu unapotumia lugha kama hiyo unatukana JF,watu wa sengerema,na pia hilo neno la rangi tofauti hapo juu...ustaarabu umetushinda hivi kweli?

Hii inatia aibu JF ni jamvi la majadiliano na sio matusi wakuu.
 
- Kikao cha jana Dodoma, hawa ndio the supposedly the mind ya taifa letu, na mind you wote hawa ni wanafunzi wa Mwalimu, yaani kichwa chetu taifa uendawazimu mtupu!

- Ni vyema historia yoyote ya taifa letu inayowahusisha hawa watu hapo juu na Mwalimu, ifutwe mara moja ni kumuabisha sana Mwalimu na baba wa taifa na taifa letu!
Respect.

FMEs!

Upinzani wenyewe huu hapa chini!!!!
04_09_4heph61.jpg
 
Lowasssa anaweza kupewa U-PM tena au mambo ya nje.lol.au balozi wa kudumu UN.

Kwani Lowassa akirudi kuna ubaya gani mkuu?Wacha aje alete kasi ya utendaji
 
Ili kuamini ripoti za hawa maripota watuambie ni nani anachangia sio mjumbe mmoja kwani hawawajui?
 
Back
Top Bottom