CCM pawaka moto Dodoma

nilikuwa off line kwa mda nimerud tena

hapo mwanzo nilisema hivi kundi la lowasa lina nguvu sana na wanaongea sana na kimsingi inaonekana kuwa wengi wa wapinga ufisadi kuna baadhi yao wamefika hapo walipo kwa msaada wa mafisad sasa kuchangia moja kwa moja ni ngumu kwa kuna watu hawajaongea lolote. upande wa hawa wapinga ufisadi kuna mmoja tu ndo kawataja majina kabisa akasema wewe lowasa, rostam ninyi ni watu wawili munaoyumbisha chama hiki
ki msingi kundi la mafidadi litashinda upepo unajionyesha, usitarajie mtu kuwajibishwa hapa, hata mkulu mwenyewe kuna mambo mengi alikuwa hayajui amabo ki msing alipaswa kuyajua kama mkuu wa nchi.

rais amekiri wazi kuwa kuna mahali alifanya makosa kwa kusikiliza ushauri wa mtu tena kiongoz na kwabadilisha nyazifa waziri nishati yule wakwanza(kweye awamu y kikwete) na pia mkurugenzi mmoja toka wizara ya elimu.alipogundua kuwa amedanganywa alfadhaika sana,

6 alisharudi ndani, ni kweli yeye ni mjumbe lakini lakini kuna mahali alizongwa zana na kundi la mafisadi, kila aliyesimama kuchangia wa upande huu alisema spika ndiye chanzo, wengi mchonganishi, ana watu wake bungeni nk nk na ndio kipindi hiki alitoka nje kwa mdaa baada ya kunywa maji.
 
Asante wa 16 kwa kazi nzuri, naomba usipotee tena, macho na masikio yetu sisi wote hapa chini. yako kwako.
Pasco, Babuyao, Bint, CarthbertL, Chamoto, Cynic, Dan M, Gamaha, Gashle, gkundi, Herg, Heri, Humbi, JoJiPoJi, kasyabone tall, KEIKEI, Kimweri, Kitila Mkumbo, Konaball, Kosmio, Liganga, m-bongotz, Malila, Maverick, mayenga, Mike 1234, Mr. Zero, Mrbwire, Msanii, Mshirazi, Mtanzania, MwanaHabari, MzeePunch, mzittokabwela, Natasha Ismail, Ndege ya Uchumi, Ngongo, nguvumali, Nono, Nurujamii, Positive Thinker, RayB, Realist, Rodelite, Roya Roy, Scientist, Semilong, Shalom, Shapu, Skills4Ever, SMU, tandala, tanzaland, The Farmer, ThinkPad, TzPride, wa 16, yakweli, Yebo Yebo
 
nimerekod maongezi toka siku yakwanza ya kikao nina gb nne sasa. naweza kupost hapa janvini moja ya records japo kipande halafu nikaisababishia jf ambayo nimejinga majuzi matatizo. ki ukweli sitaweka labda mmiliki aniambie ila nkipata nafas kama hivi tutahabarisha kwa njia hii.
 
ooooooooops kule kule tunaludi tena hamna mwenye ujasiri tena Tanzania kila mtu anaangalia kesho atakula nini umasikini mbaya jamani duh. tutafanya nini sasa nilitegemea CCM itameguka angalau tupate matumaini mapya. natamani nisingezaliwa TZ lol mbona inakatisha tamaa hivi, mchawi wetu mbona alikufa mapema jamani wako wapi wazee wa upako watuombee wadanganyika, ni kweli kabisa nimechoka kuwa mtanzania.
 
.
Kama inaweza kuupload wewe pandisha tuu, invisible atakusaidia, usiwe na wasiwasi wa kuisababishia JF matatizo kwa sababu kikao cha CCM ni cha chama tuu, sio issue za national security, wewe shusha tuu, ili JF tuendelee kufungua njia, vyombo vingine vya habari vifuatie.
 
Tunashukuru kwa kutujuvya yanayotokea bungeni lakini ni muda mrefu sasa umeombwa uwe angalau unawataja kwa majina wale wanaochangia hujasema chochote hivi hudhani mtu yeyote anaweza kusema hayo unayosema wewe kwamba 'mmoja toka mafisadi anamtaja spika kwa jina' endelea kutuletea lakini ujue ingenoga zaidi kama ungetutajia ni akina nani vingenevyo mwisho wa mwisho wanaJF siku nyingine hawatakuamini.
 
Kama unaona hilo ni shida Mkuu, wewe weka kwenye YOUTUBE na hapa weka link yake tu na mchezo umekwisha. Wakitaka kuikolimba YOUTUBE basi na wafanye hivyo.
 
ki ukweli sitaweka labda mmiliki aniambie ila nkipata nafas kama hivi tutahabarisha kwa njia hii.
If you have anything; you have our blessings... Come out clean. Cut the audio clip, hata kidogo tu kisha tupe! Kama hujui how, we can help you on how to do it.
 
si unajua ndo wenye dola?!
 
si unajua ndo wenye dola?!
Ni kweli ndio wenye dola, JF ni over and above, hatuna dola, sisi silaha yetu ni nothing but the truth, ni ukweli huu ndio unaovuka mipaka ya vyama, serikali na dola.
Shusha vitu shusha!
 
If you have anything; you have our blessings... Come out clean. Cut the audio clip, hata kidogo tu kisha tupe! Kama hujui how, we can help you on how to do it.

asante invisible mjumbe hauwawi. nitafanya hivyo hasa baada ya kikao hiki.
 
If you have anything; you have our blessings... Come out clean. Cut the audio clip, hata kidogo tu kisha tupe! Kama hujui how, we can help you on how to do it.

Mkuu,

Kwa hili naomba nitofautiane na wewe.

Sioni busara ya kuweka Audio tape haa jamvini ya kikao halali cha chama.

Ningeshauri utaratibu wa mmoja wetu kusoma na kutupatia briefing kama ambavyo FM ES huwa anafanya.

YY
 
Hii wala haina tatizo kama kweli anayo audio baso aiweke tu. tatizo la kunywa maji ya bendera ya kijani.
 
Mkuu,

Kwa hili naomba nitofautiane na wewe.

Sioni busara ya kuweka Audio tape haa jamvini ya kikao halali cha chama.

Ningeshauri utaratibu wa mmoja wetu kusoma na kutupatia briefing kama ambavyo FM ES huwa anafanya.

YY

Mkuu YY,

I understand your concern mkuu... Jamaa hana bana!
 
Hakuna tatizo jamaa akiweka audio, labda tatizo ninaloliona mimi, jamaa kasema materials ni 4GB, kuiupload kwenye mtandao kwa computer zetu hizi na connectivity speed zetu, itakuwa ni shughuli haswa sio mchezo!.
 
Hiyo 4GB hawezi kui-upload. Mimi nilichotaka afanye ni kuweza kuonyesha authenticity ya anachotwambia. Aweke hata kidogo tu, just a-cut audio kiasi hivi dakika kama 3 hivi za speech inatosha sana kutufanya tuelewe na kumpa heshima from now on! Hii itanifanya nimvulie kofia tena kuliko hata wewe Pasco...

BTW: Nakutafuta kwenye simu dakika chache zijazo, keep your phone ON
 
FMES,
Pole sana na msiba. Tupo pamoja na tunakusubiri sana kwa dataz utakapopata nafasi
 
Mkuu YY,

I understand your concern mkuu... Jamaa hana bana!
Inv, usimuunder estimate jamaa, kule nyuma amezungumzia recorders za kwenye peni, frame za miwani mpaka zile za kwenye sole za viatu.

Mimi namuaminia, jamaa karekodi kila kitu toka jana, shughuli yake ni kuupload hiyo 4GB!.
 
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao pia ni mawaziri wakuu wastaafu, kutoka kushoto, Cleopa Msuya, Frederick Sumaye, na Edward Lowassa wakiteta wakati wa kikao cha halmashauri hiyo mjini Dodoma. (Picha na Freddy Maro)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…