Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Pokea simu basi...Inv, usimuunder estimate jamaa, kule nyuma amezungumzia recorders za kwenye peni, frame za miwani mpaka zile za kwenye sole za viatu.
Mimi namuaminia, jamaa karekodi kila kitu toka jana, shughuli yake ni kuupload hiyo 4GB!.
I wanna assist him/her doing something bigger than than within a fraction of a minute