Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.
Tripo9, huna haja ya kuwapa ultimatum as if JF ndio imewatuma, wanatumia highly sophisticated recording tools, kwa vile bado kikao kinaendelea, na wao wako hapo kutekeleza yaliyowapeleka, wapeni muda ili waweze kupandisha hizo audio clips.
Give them time and the benefits of doubt, kwa maoni yangu, hata wakishindwa ku upload lakini audio wanayo, its just ok, maana wanawajibika kwanza kwa aliyewatuma hizo audio, ninachoamini for sure, sio UWT, labda ni inteligensia wa CCJ.
Wa 16, just take your time, tuko na wewe tuu na hakuna kulala.

...zaidi ya 95 percent ya wafuatiliaji hapo ni MAMLUKI WA SISIEMU!...ole wenu!...muda wa kutudanganya ni kama UMEKWISHA.Currently Active Users Viewing This Thread: 285 (63 members and 222 guests) 911, Advocate Jasha, annamaria, babukijana, Babuyao, CarthbertL, chimunguru, Dan M, Dingswayo, Endeleaaa, Future-Tanzania, Gashle, Herg, Heri, Hey, jmushi1, kasyabone tall, KEIKEI, Kimweri, Kiraka, Konaball, Kosmio, Lemi, Luteni, Magezi, Maverick, Mike 1234, Mlalahoi, Mr. Zero, Mshirazi, Mtuwamungu, Muadilifu, MwanaHabari, Mwita Maranya, Mzee Mwanakijiji, mzittokabwela, Natasha Ismail, Ngala, Ngongo, Njilembera, Nurujamii, RayB, Realist, Riziki James, Rodelite, Roya Roy, Scientist, Shalom, Shedafa, Skills4Ever, smalnama, SMU, TanzActive, The Farmer, ThinkPad, Tripo9, TzPride, Umushoshoro, wa 16, Willy
...na mind you wote hawa ni wanafunzi wa Mwalimu, yaani kichwa chetu taifa ...
- Ni vyema historia yoyote ya taifa letu inayowahusisha hawa watu hapo juu na Mwalimu...kumuabisha sana Mwalimu...
Respect.
FMEs!
.Pasco inaonyesha kuwa you have so much faith in them labda unaweza kutuambia na sisi hiyo imani ya kuwaamini hawa wanaoleta data pungufu unaitoa wapi mwenzetu ili nasi tushawishike kwani ni tokea mwanzo tuliwaomba watutajie walau hao wachangia mada ili mioyo yetu iweze kuwa nao lakini walifail nadhani unakumbuka wakati unaleta updates za Mswada wa Richmond jisi ulivyokuwa ukitiririka kimantiki lakini sioni sababu za hawa kutuletea segements zisizo na muuanganiko wowote
...zaidi ya 95 percent ya wafuatiliaji hapo ni MAMLUKI WA SISIEMU!...ole wenu!...muda wa kutudanganya ni kama UMEKWISHA
.
Tripo9, huna haja ya kuwapa ultimatum as if JF ndio imewatuma, wanatumia highly sophisticated recording tools, kwa vile bado kikao kinaendelea, na wao wako hapo kutekeleza yaliyowapeleka, wapeni muda ili waweze kupandisha hizo audio clips.
Give them time and the benefits of doubt, kwa maoni yangu, hata wakishindwa ku upload lakini audio wanayo, its just ok, maana wanawajibika kwanza kwa aliyewatuma hizo audio, ninachoamini for sure, sio UWT, labda ni inteligensia wa CCJ.
Wa 16, just take your time, tuko na wewe tuu na hakuna kulala.
Jamaa ndio alijisifu kuwa anatumia vifaa hivyo vya kisasa na alivitaja, wenye kazi zao, hawawezi kufanya upuuzi kama huo, ndio maana nikasema tuwape benefts of doubt.Na wewe naanza kukupa doubt of benefits unajuaje wanatumia highly sophisticated recording tools, pale chuo kikuu wakati wa mikutano ya kunji mnapofikia consensus kuandamana utawaona traitors katika ku buy time wanainua mikono mwishoni jamani tuupe muda utawala labda utakuja na solution kumbe wanawasiliana na FFU bado wako mbali wanakuja kutuzunguka, sorry Pasco kwa kukutolea mfano huu.
Tena siyo wapuuzi kiasi hicho!,waache kujadili jinsi ya kuwalaghai wananchi waanze kuumbuana muda huu, wanaitaji punishment japo bungeni wajae watu wengine!Usanii Mtupu! Hawatafanya lolote lile jipya la kukibadilisha chama hiki kilichoamua kuwa chama cha mafisadi badala ya chama cha mapinduzi.
Toka lini kuwashugulikia mafisadi equals to kutafuta suluhu?Kama ulivyosema Dotori,terms of reference zimebadilika hence the overall basic ideas and motives to form the committee.
Unajuwa ccm wana kazi kubwa sana,wamezoea kuwadanganya wananchi,na kwasababu kizazi kinabadilika na si kama cha zamani,namna ya kudanganya nayo inabidi iwe more sophisticated than before,lets wait n c if wananchi will buy it.
![]()
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao pia ni mawaziri wakuu wastaafu, kutoka kushoto, Cleopa Msuya, Frederick Sumaye, na Edward Lowassa wakiteta wakati wa kikao cha halmashauri hiyo mjini Dodoma. (Picha na Freddy Maro)[/QUOTE]
.
Nimesema tuwape benefits of doubt, mimi bado nawaaminia kwa sababu kwanza wana guts za ajabu, kwa maoni yangu, kwanza hawa jamaa, sio wajumbe, wao humo ndani ni wahudumu tuu, wawe ni wapitisha maji, fundi umeme, ama watu wa PA Systeam ya sound.
Kutokana na mapenzi makubwa ya JF na walijua mkutano unafanyika hapo, last week, wote wawili ndio wakajiunga JF wiki iliyopita, bahati mbaya mkutano ukasogezwa mpaka wiki hii, kwa vile wako behind the scenes, ndio wameweza kupost.
Huyo mwenye 4 GB sound recorder, ana tenda ya sound kurekodi kila kitu officially, ili apate kutuletea na sisi, lazima kwanza amalize kazi aliyotumwa ndipo usiku atuibie na sisi.
Jamaa wa UWT, wanamonitor JF, 24/7, hivyo by now, wameshamjua huyo ni nani, na leo atashangaa hawatamruhusu kuondoka na chochote. Alitaja highy sophisticated soind recording kama kwenye fremu za miwani ama kwenye sole ya viatu ili kutupa make belive yeye ni mtu muhimu mule ndani. Wenye vifaa hivyo kiukweli wako na ni watu wa ukweli wao wamejinyamazia, ma impostors ndio wapiga kelele!.
Kushindwa kutaja majina, hajui who is who, alimkumbuka Sitta tuu kwa sababu ni known face kufuatia live za bungeni.
Hivyo jamaa kweli wako ukumbini, huyu thread starter amesha log out asije shtukiwa, na 16 bado yuko on line. Ndio maana nasisitiza lets give them the benefits of doubt.
Jamaa ndio alijisifu kuwa anatumia vifaa hivyo vya kisasa na alivitaja, wenye kazi zao, hawawezi kufanya upuuzi kama huo, ndio maana nikasema tuwape benefts of doubt.
Hata mimi siwezi kuzuia mtu kunipa benefits of doubt kwa vile ni vigumu sana kujua for sure, who is who, mimi kwa vile najijua mwenyewe who I am, niko very comfortable na vyovyote ninavyoweza kufikiriwa as long as my conscious is right.