LGE2024 CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
nimesema kwenye hoja ya msingi kwamba badala ya kujiandaa na kujipanga na Uchaguzi wa serikali za mitaa wanaandaa visingizio na sababu za kushindwa Uchaguzi huo πŸ’
 
Itakua ni kweli juzi kati tu kuna uzi jamaa kautoa humu, kazini kwao wamelazimishwa kuja na kadi ya mpiga kura πŸ€”πŸ€”πŸ€”
vyama makini, mikakati madhubuti πŸ’
 
Unakumbushia tu, tulishaambiwa na ng’umbi na napΔ™ Mshamaliza mchakato maporini! Toeni matokeo tu
si ndivyo mlivyo ambiwa hata na waganga wenu , ndrugu zangu wa imani potofu na ushirikiana?πŸ’
 
si ndivyo mlivyo ambiwa hata na waganga wenu , ndrugu zangu wa imani potofu na ushirikiana?πŸ’

Yes Dr ng’umbi na Dr nape washatangazia umma! Au bado mnazuga waswahili wajiandae kisaikolojia kupokea ushindi wa 99%? Utoeni tu hata sasa hivi why wasting time, mna power zote hamna wa kuwahoji, wapinzani wenu watalialia tu yataisha na mtaendelea na maisha kama alivofanya jiwe
 
Wanajua tushasahau kwamba wamemaliza mchakato maporini wanasubiri muda tu watangaze, huyu boss anaposema ccm pekee imemaliza maandalizi anamaanisha haya...
 

Attachments

  • 5770917-12f2f23d25bbe7fc3516e11af8120993.mp4
    15.1 MB
Kwa io tume yenu ya magumashi huo uchaguzi shirikini wenyewe
 
Subiri sanduku la matusi livunguliwe kutoka kwa BAVICHA. Mmewanyima kuandamana alafu bado mnaendelea Kuwakochakocha.
 
Ni kweli kabisa maana mimi kama mimi siwezi kuendelea kushiriki ukhanithi wa aina hiyo.
 
Machizi ya kura
 
Ni kweli kabisa maana mimi kama mimi siwezi kuendelea kushiriki ukhanithi wa aina hiyo.
Ndiyo,
endelea kushiriki ramli na ushirikiana wako kwa uhuru na amani na usije kumbwelambwela hapa tena, sawa gentleman?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…