Ni jambo jema sana lenye kuonyesha umoja na mshikamano wetu wana CCM katika kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi kupeperusha bendera yetu ya CCM katika uchaguzi Mkuu ujao.