Pre GE2025 CCM Ruvuma waandamana kuunga mkono uteuzi wa Dkt. Samia, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwinyi

Pre GE2025 CCM Ruvuma waandamana kuunga mkono uteuzi wa Dkt. Samia, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwinyi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza na Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwa mgombea Urais Zanzibar.

IMG_3013.jpeg
IMG_3014.jpeg
Soma, Pia:
 
Ni jambo jema sana lenye kuonyesha umoja na mshikamano wetu wana CCM katika kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi kupeperusha bendera yetu ya CCM katika uchaguzi Mkuu ujao.
 
Back
Top Bottom