chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.