Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
CCM haina uwezo wa kupambana CHADEMA wewe kwa hoja..Labda kwa kuwapora Fomu,Kupindua Matokeo,Kuwapiga mabomu nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama jiwe alishindwa unadhani hawa wataweza ?Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.