Chadema ipo miyoyoni mwa watu na ndiyo maana hata kipindi kilichopita watu wasio tazama mbele kama Mbowe walijua imekufaMuda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Mfumuko wa bei na Ukosefu wa ajira na Wamachinga pia.Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
We Mataga Chadema gani tena jamani?Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Kachimbe shimo ujifukie...dua la pimbi halimpati Mwewe...Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Hata hii ya Mwenyekiti wangu kusafirisafiri nayo ni hoja kubwa tuu kwa ujumla tusubirie Vuguvugu la pili kutoka Chadema"Mahali ambapo hakuna mkinzano wa mawazo basi mahali hapo hakuna maulamaa (wenye elimu)"
Madam nchi ina wasomi pia ina mawazo tofauti ni wazi upinzani utakuwepo.Kwa utawala huu wa CCM matobo ni mengi mno kiasi ambacho kwa hulka yao ya kukamatia madaraka hoja zitakuwepo tena nzito ajabu.
- ATCL inaingia hasara kila mwaka
- Vituo vya afya visisvyo na watumishi wa kutosha
- Shule ambazo hazina waalimu wa kutosha
- Mafao na kinga kwa wanasiasa
- Mfumuko wa bei
- Mfumo mbovu wa kumlinda mkulima
- Bima ya afya ambapo wengine wanakufa kwa kukosa pesa wengine wanalipiwa na serikali
- Wizi kwenye halmashauri
- Mateso katika vituo vya Polisi
- Kupotea kwa watu
- Comeonnnnnnnnnnnn!!
Nakuhakikishia chadema tumebeba viliyo vya watanzania na ndiyo chama kilichojipambanua kuleta Tanzania tunayoitakaHata hii ya Mwenyekiti wangu kusafirisafiri nayo ni hoja kubwa tuu kwa ujumla tusubirie Vuguvugu la pili kutoka Chadema
Mangungo alikua msafara sio mluguruWaluguru ndio watu wa kwanza kuuza nchi hii, unamkumbuka chief Mangungo wa Msovero? Wewe na yeye ni ukoo mmoja
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Acha porojo hitaji la katiba mpya sii la chadema ila la watanzania wote, uthibitisho ni maoni ya tume ya jaji Warioba.Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Mandela alipotoka jela, aliendelea kucheka na waliomtesa, Mzee Jomo Kenyatta alipotoka jela aliendelea kucheka na waliomtesa, hii hutokea kwa watu wachache tu wenye busara ambapo baadaye husababishwa watesi kuteseka wao. Mbowe ametumia busara kukutana na mtesi wake, lakini chawa wa CCM usiku mzima hawakulala kwa hasira, hasira inayosababishwa na kukosa busara. TUJIKUMBUSHE: I am Wisdom, I am better than jewels (Proverbs 8:11).Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
We BONGOLALA! ushawahi KUSIKIA serikali inahangaika na HASHIM RUNGWE???Chadema ipo miyoyoni mwa watu na ndiyo maana hata kipindi kilichopita watu wasio tazama mbele kama Mbowe walijua imekufa
Sasa ndiyo imepata Nguvu kubwa kuliko chadema ilivyoanza nichama cha watu wenye uelewa nikimaanisha uongozi na ni watu ambao wanaijua kesho kuliko leo na hakika chadema ni mkombozi wa haki na demokrasia ya kweli
Kaka umesoma ukaelewa vibaya soma tena mimi ni chademaWe BONGOLALA! ushawahi KUSIKIA serikali inahangaika na HASHIM RUNGWE???
AU KUHANGAIKA NA AUGUSTINO MREMA?? wa TLP??
Hawana impacts ,endelea tu kujifariji!!!
CHADEMA HATA UUTISHWE UCHAGUZI FREE AND FAIR KESHO WANASHINDA MAPEMA ALFAJIRI.
Upo wewe BWAKU JING........A???[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Akili yako ndicho ilichokifikiria basi!! Hivi katikati yachangamoto nyingi zinazoikabili hii nchi nyie mko busy kuwaza upupu huu, nawakishamaliza hiyo hoja ndio itakuwa imepatikana suluhu yamatatizo yanayowakabili wananchi? HivyoMuda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini.
Watu wako wanapanga kete kwenye draft tayari kwa kuzisukuma. Thinktanks za Siasa za nchi hii.
Kaeni mkao wa kula. Kuna chama kinaenda kuishiwa ajenda muda si mrefu.
Dawa chungu Kwa wale viwavi wa kijani🤪We BONGOLALA! ushawahi KUSIKIA serikali inahangaika na HASHIM RUNGWE???
AU KUHANGAIKA NA AUGUSTINO MREMA?? wa TLP??
Hawana impacts ,endelea tu kujifariji!!!
CHADEMA HATA UUTISHWE UCHAGUZI FREE AND FAIR KESHO WANASHINDA MAPEMA ALFAJIRI.
Upo wewe BWAKU JING........A???😂🤣😂🤣