CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

Kama jiwe alishindwa unadhani hawa wataweza ?
 
Watu huwa mnajidanganya sana. Labda ni wageni wa siasa za nchi hii.

Kamwe CCM haiwezi kufanya kitu au jambo linalomeet matarajio ya wananchi kwa ukamilifu wake. CCM watafanya jambo kwa ajili ya manufaa yao tu na si nchi.

CCM haikawahi kuuwa hoja yoyote ya upinzani. Ipi?
 
Hilo neno nimelisikia mara nyingi tu tokea mda mrefu.. labda kama wewe ni mtoto wa juzi juzi,

Chadema kitaishiwa ajenda, chadema kitakufa.. hata mgombea wao wa uchaguzi wa mwaka 2015 aliambiwa atakufa mda sio mrefu, na waliosema hivyo wengi wao wameshakufa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…