CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

KARLO MWILAPWA,
Taarifa zilisema Kamati ya Maadili iliyokuwa Dodoma iliwasubiri na hawakutokea. Sasa sijui haya mengine wewe unayapata wapi?

Yaani Kamati ya Maadili ya Dodoma haikuwa na taarifa kwamba kwamba kina Kinana wasingeonana nao? Na kwa nini basi Mangula akimbie toka Dodoma kuja Dar kuwafuata?
 
Na pia siku za nyuma kidogo wakati hili sakata linatrend Bashiru aliwaita hawa wazee wapumbavu. Sidhani kama hilo tusi limetoka kwenye vifua vya hawa wazee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyu Polepole kakazana akisema mmoja wapo wa "watuhumiwa" alikuwa na makontainer 700 bandarini hataki kuyalipia kodi na akalazimishwa na Magufuli na ndio kisa kizima cha kuichukia awamu ya tano, na kwamba lazima wahojiwe.

Polepole atuambie kama ameweza kuwahoji sasa.
 
Ukiifuatilia sana siasa unaweza kuwa kichaa. Na wana siasa wote ndugu moja
 
Synthesizer,
Kazi yenu ni kupiga ramli tu. Mwenyekiti was kamati ya maadili was Dar na Dom ni watu tofauti?
Kijana, mtapata shida sana na CCM.

CCM ni chama dola, chenye pesa, chenye wasomi, chama kinachomiliki vyombo vya ulinzi na usalama!
Mtachezeshwa kwata hadi mzeeke
 
KARLO MWILAPWA,
Taarifa zilisema Kamati ya Maadili iliyokuwa Dodoma iliwasubiri na hawakutokea. Sasa sijui haya mengine wewe unayapata wapi?

Yaani Kamati ya Maadili ya Dodoma haikuwa na taarifa kwamba kwamba kina Kinana wasingeonana nao? Na kwa nini basi Mangula akimbie toka Dodoma kuja Dar kuwafuata?
Katibu mkuu wa CCM amesema hizo taarifa ni za uogo na uzushi. Unataka upingane hadi na mtoa taarifa rasmi ndani ya CCM?
 
Mambo yameshaisha, watu wameelewana na wanajitayarisha kwa uchaguzi.

Sisi huku tunajitahidi kuchochea watu wachukiane na uhasama ushamiri.

Tunasahau ile methali : WAGOMBANAPO NDUGU SHIKA JEMBE UKALIME, WAKIPATA CHUKUA KAPU UKAVUNE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani baada ya kuutumia uke wakati msuguano uliposhamiri, na kujijenga kwa kutumia hiyo fursa, wamebakia kuchochea.

Fursa kama hii haitapatikana kwa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisha kuwa chama cha siasa, ambacho kisheria ni public organization, then una responsibilities to the general public, wawe wanachama au wasiwe wanachama. Kinachoendelea CCM kinaathiri kila mtu, hivyo huwezi kusema hayatuhusu hata kama sie sio wanachama.
Kama ni hivyo, basi vyama vyote vya siasa nchini vingekuwa vinatekeleza. Kumekuwa na migogoro mingi ndani ya vyama vya siasa lakini ni mara chache kuzungumzwa hadharani. Mfano mzuri ni yalyiyomkuta balozi Slaa ilipokaribia uchaguzi uliopita.
 
Mkuu kutotekeleza kwao hakuhalalishi makosa yao au kutuzuia ku-comment pale tunapokuwa na utashi wa kufanya hivyo
 
Katibu mkuu wa CCM amesema hizo taarifa ni za uogo na uzushi. Unataka upingane hadi na mtoa taarifa rasmi ndani ya CCM?
Hivi unawaamini sana CCM? Wakati wa uchaguzi walisema wasichana wakipata mimba watarudi shule. Halafu walisema Tanzania itakuwa na katiba mpya. Unadhani ni kweli?
 
Synthesizer,
Kazi yenu ni kupiga ramli tu. Mwenyekiti was kamati ya maadili was Dar na Dom ni watu tofauti?
Kijana, mtapata shida sana na CCM.

CCM ni chama dola, chenye pesa, chenye wasomi, chama kinachomiliki vyombo vya ulinzi na usalama!
Mtachezeshwa kwata hadi mzeeke
Mkuu mbona sikuelewi? Kama huyo Mwenyekiti alikuwa Dom, na alisubiri kutwa nzima mara mbili, hakuwa na mawasiliano na kina Kinana au walimpuuza? Na imekuwa kwa miujiza fulani kawepo Dar walikoripoti kina Kinana? Huoni nyie ndio mnaochezeshwa kwata na kina Kinana? Lazima huyo mwenyekiti atakuwa amekwenda mwendo wa kuwepa ndege toka dar hadi Dodoma na kuwahi kupiga picha!
 
Nafikiri kuna uwezekano kweli wameandika barua za kujivua uanachama. Hapo ikabidi waombwe wakutane na baadhi ya viongozi. Inawezekana ndio hapo wamekuja kukutana nao dar. Hapo itakuwa wenyewe ndio wataombwa kusitisha kujivua uanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
wawaombe kwa kipi walichonacho. pembe za ndovu?
 
Back
Top Bottom