Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Na huyu Polepole kakazana akisema mmoja wapo wa "watuhumiwa" alikuwa na makontainer 700 bandarini hataki kuyalipia kodi na akalazimishwa na Magufuli na ndio kisa kizima cha kuichukia awamu ya tano, na kwamba lazima wahojiwe.Na pia siku za nyuma kidogo wakati hili sakata linatrend Bashiru aliwaita hawa wazee wapumbavu. Sidhani kama hilo tusi limetoka kwenye vifua vya hawa wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
yani imebidi Mangula aweke silaha chini na kufunga safari kutoka Dodoma na kuwafata kina Makamba Dar
Naipenda hiyo, naipenda sana!
Kweli Mkuu. Ndio maana nikasema CCM wasifikiri tuna macho lakini hatuoni, masikio lakini hatusikii, ubongo lakini hatutafakari.waliombwa waje Lumumba kupiga picha tu ili waue soo.
jina lako linasadifu akili zako.mnabadilisha gea...
bado naamini maluteni wa jeshi hawayumbishwi....na wamejitoa ccm
Msibadilishe story
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu mkuu wa CCM amesema hizo taarifa ni za uogo na uzushi. Unataka upingane hadi na mtoa taarifa rasmi ndani ya CCM?KARLO MWILAPWA,
Taarifa zilisema Kamati ya Maadili iliyokuwa Dodoma iliwasubiri na hawakutokea. Sasa sijui haya mengine wewe unayapata wapi?
Yaani Kamati ya Maadili ya Dodoma haikuwa na taarifa kwamba kwamba kina Kinana wasingeonana nao? Na kwa nini basi Mangula akimbie toka Dodoma kuja Dar kuwafuata?
Kama ni hivyo, basi vyama vyote vya siasa nchini vingekuwa vinatekeleza. Kumekuwa na migogoro mingi ndani ya vyama vya siasa lakini ni mara chache kuzungumzwa hadharani. Mfano mzuri ni yalyiyomkuta balozi Slaa ilipokaribia uchaguzi uliopita.Ukisha kuwa chama cha siasa, ambacho kisheria ni public organization, then una responsibilities to the general public, wawe wanachama au wasiwe wanachama. Kinachoendelea CCM kinaathiri kila mtu, hivyo huwezi kusema hayatuhusu hata kama sie sio wanachama.
Mkuu kutotekeleza kwao hakuhalalishi makosa yao au kutuzuia ku-comment pale tunapokuwa na utashi wa kufanya hivyoKama ni hivyo, basi vyama vyote vya siasa nchini vingekuwa vinatekeleza. Kumekuwa na migogoro mingi ndani ya vyama vya siasa lakini ni mara chache kuzungumzwa hadharani. Mfano mzuri ni yalyiyomkuta balozi Slaa ilipokaribia uchaguzi uliopita.
Hivi unawaamini sana CCM? Wakati wa uchaguzi walisema wasichana wakipata mimba watarudi shule. Halafu walisema Tanzania itakuwa na katiba mpya. Unadhani ni kweli?Katibu mkuu wa CCM amesema hizo taarifa ni za uogo na uzushi. Unataka upingane hadi na mtoa taarifa rasmi ndani ya CCM?
Mkuu mbona sikuelewi? Kama huyo Mwenyekiti alikuwa Dom, na alisubiri kutwa nzima mara mbili, hakuwa na mawasiliano na kina Kinana au walimpuuza? Na imekuwa kwa miujiza fulani kawepo Dar walikoripoti kina Kinana? Huoni nyie ndio mnaochezeshwa kwata na kina Kinana? Lazima huyo mwenyekiti atakuwa amekwenda mwendo wa kuwepa ndege toka dar hadi Dodoma na kuwahi kupiga picha!Synthesizer,
Kazi yenu ni kupiga ramli tu. Mwenyekiti was kamati ya maadili was Dar na Dom ni watu tofauti?
Kijana, mtapata shida sana na CCM.
CCM ni chama dola, chenye pesa, chenye wasomi, chama kinachomiliki vyombo vya ulinzi na usalama!
Mtachezeshwa kwata hadi mzeeke
Harudi tena huyoHivi unawaamini sana CCM? Wakati wa uchaguzi walisema wasichana wakipata mimba watarudi shule. Halafu walisema Tanzania itakuwa na katiba mpya. Unadhani ni kweli?
wawaombe kwa kipi walichonacho. pembe za ndovu?Nafikiri kuna uwezekano kweli wameandika barua za kujivua uanachama. Hapo ikabidi waombwe wakutane na baadhi ya viongozi. Inawezekana ndio hapo wamekuja kukutana nao dar. Hapo itakuwa wenyewe ndio wataombwa kusitisha kujivua uanachama
Sent using Jamii Forums mobile app