CCM semeni ukweli: Kinana na Makamba wameipuuza Kamati ya Maadili Dodoma wakaenda kuonana na Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CCM hapa Dar

Naona mafisi bado wanazidi kugombea mfupa uliooza. Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama haivina uhusiano hiv vitu
 
Ni aibu kwa viongozi wa ccm, inavyoonekana walijipangia na muda wa kufika.
 
Atleast sijakuzidi wewe upumbavu...

weka wewe ushahidi kwamba wanajeshi wanamsimamo hawakwenda...

ushahidi kuwa walikwenda ninao wa picha na video ila kwa kiwango cha ujinga wako hustahili kutumiwa[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
...

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Unahangaika kusifia mijitu mabayo ni brainless! Funny! Hawa ni watu wanaostahili kupongezwa kwa lolote kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…