CCM si tu wamevuruga uchaguzi wamevuruga na Nchi, na Amani yake

CCM si tu wamevuruga uchaguzi wamevuruga na Nchi, na Amani yake

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Uharibifu wa uchaguzi ni jambo moja baya sana jambo lingine baya zaidi ni kumiliki taarifa za watu binafsi, kwa maana nyingine CCM wakitaka kumshughulikia mtu kwa njia yoyote ile wanaweza kujua kuanzia kijiji chake hadi anapofanya kazi, ndugu zako wote nchi nzima nje ya nchi na mahali popote, hili ni unacceptable uwezo huu unatakiwa kuwa ndani majeshi na vyombo vya ulinzi na usalama pekee.

Sasa ni dhahiri shairi CCM watakuwa wanamiliki silaha, taasisi za intelejesia, safe houses na vikundi vya kigaidi na haya yote yanafanyika nje ya mfumo rasmi wa kiserikali.

Polepole ameikomboa nchi tena hakika atavishwa taji la ushindi.

Watu ambao akili zao zimelala hajaona bado ni kuwa CCM haina tofauti na Hamas na Hezbollah, hivi ni vyama vya siasa kwenye mataifa yao lakini wanamiliki mifumo ya kijeshi, kiusalama, media hadi njia za kiuchumi kama mabank, viwanda na biashara nyingine.

Chama cha siasa kinakusanya billion 100 miezi miwili kabla ya uchaguzi zikatumike wapi? Hizi ni sehemu ya fedha zinazoenda kufadhili huu ugaidi...
 
Back
Top Bottom