kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Tangu lini mtu aliyesomea ds akawa na akili nzuri.politics ni sehemu ya maisha yao.Bashiru anatumika na jiwe kusimika udikteta ndani ya chama. Bashiru ipo siku atajuta anayoyafanya ndani ya chama.
Ni aibu kwa mhadhiri aliyewahi kuheshimika siku za nyuma. Anaaibisha taaluma yake na anajiwekea alama ya kudumu atakayokufa nayo kwa majuto. Lakini majuto ni mjukuu. Pole sana kadikteta kabashiru.
Chakula kitamu na ulinzi mkali vimemfanya awaone wengine hawafaiBashiru atakuja kuumizwa na miamba ya CCM. Hata UDSM atafukuzwa akalime bamia. Huyu bwana anajisahau sana.
mbona tayari kimegawanyika !Sasa si kafukuzwa akigawe chama sasa kama ana ubavu
Mkuu unataka akale wapi?Bashiru anatumika na jiwe kusimika udikteta ndani ya chama. Bashiru ipo siku atajuta anayoyafanya ndani ya chama.
Ni aibu kwa mhadhiri aliyewahi kuheshimika siku za nyuma. Anaaibisha taaluma yake na anajiwekea alama ya kudumu atakayokufa nayo kwa majuto. Lakini majuto ni mjukuu. Pole sana kadikteta kabashiru.
Angekuwa Ni upinzani angeshafutwa zamani..Anakua likizo ya bila malipo.
Itaendelea kuwepo hadi mwisho wa nyakati nduguWalikufa mafarao na kaisari, hata British Empire ilifikia ukomo na kifo eti ishindwe kufa CCM. Binadamu ana akili fupi sana.
Angewaacha tu hata bila onyo, anayetaka kugombea agombee tu kwani si itafika wakati wa kupigiwa kura na yeye kwa vile ni 'kipenzi' cha wanachama wangemchagua tu na hao akina Membe & co wangeangukia pua na chama kubaki salama.Jiwe hajiamini hata kidogo. Angekuwa anajiamini angempa adhabu angalau kama ya Kinana.
Ni kweli kwani sasa hivi kuna genge linalotumia mabavu ya dola kutawala. CCM ile ya kujenga hoja na kushawishi ilishajifia.Ya kweli haya!?
Shibuda hakufukuzwa ccm2010 Shibuda alifukuzwa mbona maneno hayo hayakuwepo au yeye hakuwa binadamu?
CCM ishakufa zamani - hata sisi wana CCM dormant hili tunalijua. ni polisi tu inayoifanya CCM iwepo. JK aliliona hili na alishatoa onyo zamani.Umezaliwa umeikuta utakufa utaiacha. Muulize babu wa babu yako kama yupo. CCM shall never die.
Sent using Jamii Forums mobile app
HII INAONYESHA DEMOCRASIA NDANI YA CCM!Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.
Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.
Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.
Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.
My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Bashiru atakuja kuumizwa na miamba ya CCM. Hata UDSM atafukuzwa akalime bamia. Huyu bwana anajisahau sana.
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.
Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.
Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.
Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.
My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
kwa kuongezea tuHII INAONYESHA DEMOCRASIA NDANI YA CCM!
CHADEMA MNAKWAMA WAPI? HUKU HAKUNA MAMBO YA "SUMU HAIRAMBWI"
Hivi unaamini kuna mwana kamati atampinga Mwenyekiti wa CCM ndani ya vikao?Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.
Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.
Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.
Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.
My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Utakufa na stress bure achana na Chama Dume wewe hutakiweza!Bashiru anatumika na jiwe kusimika udikteta ndani ya chama. Bashiru ipo siku atajuta anayoyafanya ndani ya chama.