Ngoja washangilie kuvurugika kwa CCM kwenye mitandao ya kijamii.Story za kwenye kahawa hizi,Membe kishamaliza life lake CCM.Hiyo ishakuwa historia.Nani aliunga mkono nani hakuunga iy does dot matter,what matters is Membe kafukuzwa CCM.
Nje ya CCM, mwanasiasa yeyote ni kama "samaki nje ya maji". Nguvu ya mamba pia ni ndani ya maji.Na mgogoro wote huo mkubwa unaouona humo CCM hao wote waliopinga kutumbuliwa kwa Membe hamna kitu watafanya zaidi ya kulia lia tu huko pembeni.
Mwana CCM yoyote yule hata hao wa kamati kuu wakiwa nje ya CCM ni dhaifu sana na wanaweza kupigwa makofi hata na bodaboda au na mwanamke na chakufanya hawana.
So hawana namna zaidi ya kuikumbatia CCM kwa hali yoyote ile.
Huu ni muendelezo wa operesheni ya kujivua gamba. CCM ni chama makini.
wababe wanne mbona huwataji. Umbeyaaaaaapamoja huku wababe wanne a
hhuu si uandishi wa GTAyo anayoyafanya Bashiru msimlaum ni maagizo ya Magufuli na hata yeye mwenyewe na Polepole hawakubaliani na kufukuzwa kwa Membe Ccm.
TULIA DAWA IKUINGIE VIZURIKama kawaida ya tetesi.
Kumbukumbu hii itakusaidiaShibuda hakufukuzwa ccm
Bali ktk mchakato wa Kura za maoni za kuania nafas ya ubunge jina lake lilikatwa
Sikumbuki vizur na Kama lililudi basi ilikuwa nafas ya 3
Kwa hasira ya figisu aliyofanyiwa na jinsi anavyokubalika ndipo alipohamia chama Cha chadema na akashinda nafasi ya ubunge
Lakini HAKUFUKUZWA CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani anayetolewa nae anataka kupiga penalt!!Bwana miwani anapiga penati! View attachment 1373684
Huoni bwana miwani ana umbo la utoto?Yaani anayetolewa nae anataka kupiga penalt!!
Hapo ndo huwa wananishinda tabia hawa wapinzani,Yaani huwa namkumbuka sana Chacha Wangwe na ideas zake za kujenga chama.Ngoja washangilie kuvurugika kwa CCM kwenye mitandao ya kijamii.
Wacha weee G Sam mzee wa kuzichungulia newzKati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.
Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.
Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.
Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.
My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Afukuzwe kwa kosa gani alilofanya? Kuteuliwa na Rais ndiyo kumfukuzishe kazi?Bashiru atakuja kuumizwa na miamba ya CCM. Hata UDSM atafukuzwa akalime bamia. Huyu bwana anajisahau sana.
Wewe huijui siasa.Afukuzwe kwa kosa gani alilofanya? Kuteuliwa na Rais ndiyo kumfukuzishe kazi?
Ni kweli ila natamani sana kuijua, nijuze tafadhali. Itakuwaje hadi afikie kufukuzwa kazi?Wewe huijui siasa.
Haya mpenzi, njoo tena na vijembe! Halafu kumbe ulinipiga vijembe? Sema mimi nikishaandikaga kitu nina uhakika nacho sirudi kujibizana! Leo napitia hili andiko nashangaa ulinipiga vijembe!Hapo ndo huwa wananishinda tabia hawa wapinzani,Yaani huwa namkumbuka sana Chacha Wangwe na ideas zake za kujenga chama.
CCM ilishakufa kitambo sana ! hadi mzee wa Watu kapata Kiharusi.