Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

Story za kwenye kahawa hizi,Membe kishamaliza life lake CCM.Hiyo ishakuwa historia.Nani aliunga mkono nani hakuunga iy does dot matter,what matters is Membe kafukuzwa CCM.
Ngoja washangilie kuvurugika kwa CCM kwenye mitandao ya kijamii.
 
Na mgogoro wote huo mkubwa unaouona humo CCM hao wote waliopinga kutumbuliwa kwa Membe hamna kitu watafanya zaidi ya kulia lia tu huko pembeni.

Mwana CCM yoyote yule hata hao wa kamati kuu wakiwa nje ya CCM ni dhaifu sana na wanaweza kupigwa makofi hata na bodaboda au na mwanamke na chakufanya hawana.

So hawana namna zaidi ya kuikumbatia CCM kwa hali yoyote ile.
Nje ya CCM, mwanasiasa yeyote ni kama "samaki nje ya maji". Nguvu ya mamba pia ni ndani ya maji.
 
kufukuzwa sio inshu... subiri tusikie kauli yake na maamuzi juu ya kuendelea kufanya siasi au lah!
 
Ngoja washangilie kuvurugika kwa CCM kwenye mitandao ya kijamii.
Hapo ndo huwa wananishinda tabia hawa wapinzani,Yaani huwa namkumbuka sana Chacha Wangwe na ideas zake za kujenga chama.
 
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.

Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.

Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.

Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.

My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Wacha weee G Sam mzee wa kuzichungulia newz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru atakuja kuumizwa na miamba ya CCM. Hata UDSM atafukuzwa akalime bamia. Huyu bwana anajisahau sana.
Afukuzwe kwa kosa gani alilofanya? Kuteuliwa na Rais ndiyo kumfukuzishe kazi?
 
Hapo ndo huwa wananishinda tabia hawa wapinzani,Yaani huwa namkumbuka sana Chacha Wangwe na ideas zake za kujenga chama.
Haya mpenzi, njoo tena na vijembe! Halafu kumbe ulinipiga vijembe? Sema mimi nikishaandikaga kitu nina uhakika nacho sirudi kujibizana! Leo napitia hili andiko nashangaa ulinipiga vijembe!
 
Back
Top Bottom