Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

Tatizo ccm wana asili ya woga na unafiki na hii imekuwa ni hulka ya wanachama wake kwa siku zote, hapo hakuna hata mmoja anayeweza kufa na Membe.

Membe atajifia mwenyewe kifo chake, hao wanaojidai kumuunga mkono wanafanya hivyo kinafiki tu lkn hawako tayari kujitoa kwa ajili yake.

Bashiru Ally anajidai kumkataa Membe ili kulinda mkate wake tu lkn sio kwa moyo wake wa dhati kwani Membe ni ccm asili kuliko huyu Bashiru ambayo njaa ndio ilimleta ccm akitokea Cuf.
 
Story za kwenye kahawa hizi,Membe kishamaliza life lake CCM.Hiyo ishakuwa historia.Nani aliunga mkono nani hakuunga iy does dot matter,what matters is Membe kafukuzwa CCM.
Mkuu, hizi ni propaganda za watoto wa Mbowe usihangaike nao
 
Huu ni muendelezo wa operesheni ya kujivua gamba. CCM ni chama makini.
chama makini kinawategemea polisi wakimbie na masanduku ya kura kama walivyofanya KINONDONI.
Chama makini kinawanunua watu ili wakipigie kura kama walivyofanya UKONGA pale kila shahada ilinunuliwa kwa 10000/
hujui hata maana ya umakini wewena
nani yule aliyempa sumu mzee MANGULA?
kama kuna demokrasia huko mbona ime PRINTIWA FOMU MOJA TU
 
Hiyo ni ukweli kwa 100% ndiyo maana hadi sasa hakuna mwenye uwezo wa kumuandikia barua ya kufukuzwa uanachama. Na leo hii au kesho kuna jambo kutoka ndani ya ccm litajitokeza juu ya mh Membe.

Hilo jambo litakuwa ni pigo la kwanza kwa Bashiru na mjomba wake
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.

Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.

Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.

Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.

My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
 
Wapo wengi wanao jisahau sana ila Bashiru kwa elimu yake aliyo nayo hakutakiwa kuingia kwenye mtumbwi wa vibwengo
Bashiru atakuja kuumizwa na miamba ya CCM. Hata UDSM atafukuzwa akalime bamia. Huyu bwana anajisahau sana.
 
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.

Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.

Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.

Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.

My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Hao waliopinga wana mpango gani? Au ndo maana maccm yanahaha humu?!
 
Na hao wababe wannnne ndio kila kitu, wakikohoa nchi inatetema.
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.

Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.

Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.

Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.

My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
 
Mpaka sasa nimebahatika kuwajuwa Al Bashiru wanne.
1. Kiongozi wa zamani wa Somalia.
2. Kiongozi wa zamani wa Sudan
3. Katibu mkuu wa CCM
4. Rafiki yangu.

They all have one thing in common. Wote wana roho mbaya!
 
Membe yuko huru, mpeni tu usajili wa dirisha dogo kama ilivyokuwa kwa Lowasa
 
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.

Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.

Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.

Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.

My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Ninavyoifahamu CCM hii ni habari ya kutungwa ...Sina shaka kabisa na hili...nafahamu namna vikao vya kamati kuu vinavyoendeshwa...
 
Ukiwa upande wa Mwenyekiti na Mwenyekiti akawa upande wako, uko salama kwa wakati huo.
 
Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa.

Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya siasa ndani ya chama hicho kwa muda maalum kama adhabu mbadala ili kuepuka kukigawa chama.

Adhabu kama hiyo ndiyo alipewa Kinana ambaye hata hivyo haiwezi kumuathiri kwa lolote lile kwani alishaachana na mambo ya siasa. Adhabu hiyo mbadala ilipingwa kwa nguvu zote na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Bashiru Ally ambaye alisimamia Membe na Kinana kufukuzwa.

Taarifa zilizovuja ndani ya kamati hiyo zinadai kuwa wajumbe wa kikao hicho waliondoka bila ya kupata muafaka wa pamoja huku wababe wanne ambao walisimamia Membe kufukuzwa wakitoka na maamuzi yao.

My take: Upo uwezekano kuwa ndani ya CCM kuna mgogoro unaoendelea licha ya wachache kutuaminisha kuwa wanachama wake ni wamoja. Tusubiri tuone watakaoanza kuunga mkono msimamo wa Membe wazi wazi.
Aisee ndio maana mzee Mangula akapewa glass ya sumu!
 
Back
Top Bottom