robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda.
Wananchi wameonesha wazi hasira zao lakini badala ya kusikiliza, uongozi unaonekana kuendelea na mtindo uleule wa kupuuza, kukwepa uwajibikaji, na kujijengea kinga ya kisiasa kupitia uteuzi wa watu wanaolinda maslahi ya familia zao.
Walioko kwenye chama wanaambiwa ni maslahi ya chma, lakini ni maslahi ya familia zao. wanapuuzia malalamiko ya wananchi badala yake wanazidisha mpasuko kati ya wananchi na watawala.
Hii siyo serikali inayosikiliza wananchi.