GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ili ukubalike na ku -survive ndani ya CCM, ni lazima uwe chawa kama kina Tlaatlaah, mihapase, Lucas Mwashambwa, Shotocan, Mtoto wa Shule etc kwa kukubali kulamba miguu ya walio juu yako, uuze utu na heshima yako na kuikana dhamira yako...

Mpaka hapo, luhaga Mpina, Mrisho Gambo, Kassim Majaliwa, Job Ndugayi na wengine sasa wataelewa maana na dhana iliyobebwa na kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTION..

Lazima waelewe kuwa, hata huko ndani ya CCM yao, mabadiliko (reforms) ni hitaji la sasa na la lazima sana. Else, wakubali kukana dhamiri zao, wauze heshima na utu wao, wauze roho na nafsi zao kwa Jezebel...

La, wanajipenda kuuheshimu utu na dhamiri zao, basi, haraka sana, wajiunge na timu #NoReformsNoElection haraka, waingie vitani na kupigania nchi na taifa letu la Tanganyika...

Ninavyowafahamu CCM na mfumo wao, inawezekana kabisa hata mafao yake yote ya ubunge ya 400+M amenyimwa au yamekatwa kwenye mikopo huku wenzake wakisamehewa na kuvuta zote...
 
Kwa namna hii hii, tayari, CCM Imeonyesha Dhahiri hakutakuwa na uchaguzi wa haki

Ikiwa watu wake kabisa ambao tayari wanakubalika na jamii, halafu kwa makusudi wanakatwa

Kwa tuliosoma GAZA, tunapigia mstari tu kwamba, hakuna uchaguzi 2025, kuna uchafuzi tupu
 
Mpina kipindi ni waziri wa mifugo enzi za Jpm aliamuru vifaranga kutoka Kenya vichomwe moto vikiwa hai, laana ya utesaji wa wanyama acha imtafune
Wewe ni mbuzi tu huna chochote utaweza kuelewa


Unadhani kwa nini vilichomwa?
 
Na unaweza kuwa huu mchakato wa kukata majina umetungwa sababu yake na
 
Mpina kipindi ni waziri wa mifugo enzi za Jpm aliamuru vifaranga kutoka Kenya vichomwe moto vikiwa hai, laana ya utesaji wa wanyama acha imtafune
Kwenye siasa na Polisi hakuna laana mkuu, fikiria mwanasisa anakaa kikao na vyombo vya Dola, ili kumteka Mtanzania mwenzeke na kumfanyia mauaji kama ya Mzee Kibao
 
Ccm ipo kwenye stage kama ile ya Chadema kabla ya uchaguzi wa ndani, ambao ulimfanya Heche na lissu kuwa washindi, hii ni hatua nzuri sana kielekea mabadiliko
 
Amri Toka juu
 
Kwenye siasa na Polisi hakuna laana mkuu, fikiria mwanasisa anakaa kikao na vyombo vya Dola, ili kumteka Mtanzania mwenzeke na kumfanyia mauaji kama ya Mzee Kibao
Ukifatilia maisha ya baadae ya watu kama hao huwa wana mwisho mbaya sana
 
Mpina kipindi ni waziri wa mifugo enzi za Jpm aliamuru vifaranga kutoka Kenya vichomwe moto vikiwa hai, laana ya utesaji wa wanyama acha imtafune
Mbona kipindi cha samia vilichomwa moto mara 5 zaidi tena vya ndani ya nchi kabisa...
 
Ukifatilia maisha ya baadae ya watu kama hao huwa wana mwisho mbaya sana
Wakishavaa gwanda au Kaunda suti na mabunduki akili zinahama,
Wanajiona kama viumbe kutoka sayari nyingine,
Hivi inaingia akilini ofisa wa Polisi anamlawiti mtuhumiwa kama sehemu ya kumhoji, kama ilivyodaiwa na yule Mkenya mwanaharakati
 
😁😁

Wewe kapuku stahili yako ni hayo uloandika

Wakishavaa gwanda au Kaunda suti na mabunduki akili zinahama,
Wanajiona kama viumbe kutoka sayari nyingine,
Hivi inaingia akilini ofisa wa Polisi anamlawiti mtuhumiwa kama sehemu ya kumhoji, kama ilivyodaiwa na yule Mkenya mwanaharakati
Huwa wanasahau kuwa dunia inaenda Kasi sana
 
CCM ni takataka hawataki kabisa mtu anaewaambia ukweli wanataka bongolala kama kibajaji au babu Tale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…