GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.

Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman?šŸ’
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa hii kitaalamu tunaitaje?
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.

Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman?
Ili ukubalike na ku -survive ndani ya CCM, ni lazima uwe chawa kama kina Tlaatlaah, mihapase, Lucas Mwashambwa, Shotocan, Mtoto wa Shule etc kwa kukubali kulamba miguu ya walio juu yako, uuze utu na heshima yako na kuikana dhamira yako...

Mpaka hapo, luhaga Mpina, Mrisho Gambo, Kassim Majaliwa, Job Ndugayi na wengine sasa wataelewa maana na dhana iliyobebwa na kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTION..

Lazima waelewe kuwa, hata huko ndani ya CCM yao, mabadiliko (reforms) ni hitaji la sasa na la lazima sana. Else, wakubali kukana dhamiri zao, wauze heshima na utu wao, wauze roho na nafsi zao kwa Jezebel...

La, wanajipenda kuuheshimu utu na dhamiri zao, basi, haraka sana, wajiunge na timu #NoReformsNoElection haraka, waingie vitani na kupigania nchi na taifa letu la Tanganyika...

Ninavyowafahamu CCM na mfumo wao, inawezekana kabisa hata mafao yake yote ya ubunge ya 400+M amenyimwa au yamekatwa kwenye mikopo huku wenzake wakisamehewa na kuvuta zote...
šŸ’
 
gentleman,
usipotoshe wadau wa jf kwa uropokaji tafadhali šŸ’
 
Ccm acheni kuonea kisa mtu Fulani anahoji serikali
We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.
 
Ccm ni laana kwa taifa hilišŸ™†ā€ā™‚ļø
 
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.

Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman?
šŸ’
Nani kakuambia huyu mama yenu Jezebel atakuwa Rais wa Tanganyika tena..?

It's the end of the road for her. Hakuna Mzanzibari kuwa Rais wa Tanganyika tena baada ya huyu mpuuzi...!!

Haifiki September, 2025 huyu Jezebel atarudi Kizimkazi - Zanzibar akiwa raia wa kawaida na akiendelea kutokuwa na akili na ufahamu, atarudi akiwa kwenye sanduku la kubebea mizoga...!!
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera kwenye nafasi ya ubunge katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu; vyanzo vya kuaminika kutoka ndani ya kikao cha kamati ya siasa ya CCM Mkoa wa Simiyu vimeitonya Jambo TV.

Mpina Mbunge machachari ndani na nje ya Bunge aliyejipatia umaarufu kwenye takribani miaka mitano sasa kwa kuibana serikali ndani ya Bunge na hata nje ya Bunge kwa hoja mbalimbali amekumbana na rungu la chama chake ngazi ya wilaya na mkoa baada ya vikao vya Kamati ya Siasa ya CCM wilaya ya Meatu kumtupa nje kwa kutopendekeza jina lake- maamuzi ambayo yamebarikiwa na chama ngazi ya mkoa hivyo sasa nafasi ya mwisho ya yeye kupenya jina lake kwa ajili ya kwenda kwenye mchakato wa kura za maoni ikibakia vikao vya ngazi ya taifa kwa maana ya Kamati Kuu ambayo imepewa mamlaka ya kufanya uteuzi wa mwisho.

Katika jimbo hilo, wagombea waliokuwa wakichuana katika hatua ya awali walifikia 14, lakini kupitia kikao cha wilaya na mkoa, majina yaliyopendekezwa ni Sitta Risinge, Mussa Mbuga, na Silinde Gumada.

Kiujumla, majina yote yaliyopendekezwa ngazi ya wilaya na mkoa hupelekwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM taifa, na Kamati kuu hiyo ina uwezo wa kuja na mapendekezo yake ya majina kwa kurejea majina ya awali ya wote waliochukua fomu, waliopendekezwa nkwa upande wa wilaya na hata yale ya mkoa.

Baada ya hapo Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kitapokea na kuchambua majina ya wagombea Ubunge kwa ajili ya maandalizi ya vikao vya uteuzi, kisha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kitafikiria na kuteua majina ya WanaCCM wasiozidi watatu walioomba nafasi ya Ubunge na ili wakapigiwe kura za maoni na hatua zaidi ndani ya chama zitafuata kabla ya kumpata mgombea atakayekiwakilisha chama katika jimbo husika.

Source: Jambo TV
Wakaungane na Polepole sasa wajue nini cha kufanya maana at least Mpina na chembechembe za uzalendo na Polepole ni mzuri anapokutana na watu kama hawa kwenye swala la maslahi ya taifa japo kwa udogo ila Imani yao juu ya maslahi ya umma si haba
 
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.

Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman?šŸ’
Hana imani na huo uteuzi(anaweza kuenguliwa). Alaf anajiskia kua na deni na wananchi wa jimbo lake, anafanyaje?
 
Hana imani na huo uteuzi(anaweza kuenguliwa). Alaf anajiskia kua na deni na wananchi wa jimbo lake, anafanyaje?
hayupo wa kubabaika na imani yake, serikali ya Dr.Samia Suluhu Hassan sio kanisa la imani za watu.

ni kweli anaweza kua na deni na wananchi wa kisesa waliomtuma akawatetee kuhusu maji, afya, elimu, miundombinu n.k ila yeye akajisahau na kuanza kupambana na mawaziri kwa chuki binafsi eti kwasababu yeye alienguliwa barazani šŸ’
 
Back
Top Bottom