GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.


Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman?πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa hii kitaalamu tunaitaje?
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.


Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman? πŸ’
 
gentleman,
usipotoshe wadau wa jf kwa uropokaji tafadhali πŸ’
 
Ccm acheni kuonea kisa mtu Fulani anahoji serikali
We are being watched. The gvt has a secret system,a machine to spy on you in every hour of every day. I designed the machine to detect acts of terror but it ceased everthing, violence and crimes that involve ordinary people, the gvt consider these people irrelevant, we dont. Hunted by authorities, we work in secret, you will never find us, but victims or perpetuator, if your number is up, we will find you.
 
Ccm ni laana kwa taifa hiliπŸ™†β€β™‚οΈ
 
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.


Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman?
πŸ’
Nani kakuambia huyu mama yenu Jezebel atakuwa Rais wa Tanganyika tena..?

It's the end of the road for her. Hakuna Mzanzibari kuwa Rais wa Tanganyika tena baada ya huyu mpuuzi...!!

Haifiki September, 2025 huyu Jezebel atarudi Kizimkazi - Zanzibar akiwa raia wa kawaida na akiendelea kutokuwa na akili na ufahamu, atarudi akiwa kwenye sanduku la kubebea mizoga...!!
 
Wakaungane na Polepole sasa wajue nini cha kufanya maana at least Mpina na chembechembe za uzalendo na Polepole ni mzuri anapokutana na watu kama hawa kwenye swala la maslahi ya taifa japo kwa udogo ila Imani yao juu ya maslahi ya umma si haba
 
mpina ni political hyena, ni mbishi mwenye kiburi.

Rais kaahidi kumteua mbunge baada ya uchaguzi mkuu wa October, kwa kiburi anatia nia tena.


Hiyo si dharau kwa taasisi ya urais gentleman?πŸ’
Hana imani na huo uteuzi(anaweza kuenguliwa). Alaf anajiskia kua na deni na wananchi wa jimbo lake, anafanyaje?
 
Hana imani na huo uteuzi(anaweza kuenguliwa). Alaf anajiskia kua na deni na wananchi wa jimbo lake, anafanyaje?
hayupo wa kubabaika na imani yake, serikali ya Dr.Samia Suluhu Hassan sio kanisa la imani za watu.

ni kweli anaweza kua na deni na wananchi wa kisesa waliomtuma akawatetee kuhusu maji, afya, elimu, miundombinu n.k ila yeye akajisahau na kuanza kupambana na mawaziri kwa chuki binafsi eti kwasababu yeye alienguliwa barazani πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…