Uchaguzi 2020 CCM sio kila hoja ni ya kupinga, namna nyingine ya kupinga hoja ni kuiboresha zaidi

Tanzania ndio nchi pekee inayotumia lugha nyingine kufundishia na lugha nyingine kuwasiliana huku zote tukiziita rasmi.

Kuwafananisha na wajerumani au wachina ni mwendelezo wa ujinga tunaojengewa na CCM maana hao watu shuleni hadi mitaani lugha moja.

Kuna kujua lugha na kuweza kuwasiliana ndio maana mabubu wapo kila nchi, watanzania wengi hatuijui lugha ya kiingereza na hili linaanzia majumbani wazazi hawaongei na watoto wao japo wamewapeleka english medium school.!

Mnaompinga Lissu juu ya pendekezo lake, mpingeni ki English tuwaelewe vizuri!


 
Kwani hapa Tanzania hatufundishi kwa kiingereza na kiswahili? Au una maanisha nini?
 
Wenye hulka ya kupinga kila jambo ni chadema ambao mpaka sasa sijaona wakiboresha lolote Kati ya hayo wanayoyapinga.
 
Kwa hiyo unataka kusema Tanzania haina sera ya lugha? Unataka kusema majaji na watanzania hawajui kiingereza kiasi kwamba wakiongea Lissu inabidi ajifiche uvunguni?
I will put you insaidi! Hicho ni cha professor Ndali
 
Kwa hiyo unataka kusema Tanzania haina sera ya lugha? Unataka kusema majaji na watanzania hawajui kiingereza kiasi kwamba wakiongea Lissu inabidi ajifiche uvunguni?
Ni kweli mifano tunayo ila tukiitoa tunakamatwa.
 
Kwa mfano hipi?
 
Kwa hiyo una sema kuwa tunajua English kama wakenya wamalawi na wazambia??!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…