NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
Tanzania ndio nchi pekee inayotumia lugha nyingine kufundishia na lugha nyingine kuwasiliana huku zote tukiziita rasmi.
Kuwafananisha na wajerumani au wachina ni mwendelezo wa ujinga tunaojengewa na CCM maana hao watu shuleni hadi mitaani lugha moja.
Kuna kujua lugha na kuweza kuwasiliana ndio maana mabubu wapo kila nchi, watanzania wengi hatuijui lugha ya kiingereza na hili linaanzia majumbani wazazi hawaongei na watoto wao japo wamewapeleka english medium school.!
Mnaompinga Lissu juu ya pendekezo lake, mpingeni ki English tuwaelewe vizuri!

Jaduong usikariri maneno ya wanasiasa waongo. Nenda Botswana wamejaa watanzania wanafanya kazi za maana. Nenda Usa kuna maelfu ya watanzania wanafundisha huko. Kwa hiyo tusipotoshe watu Tanzania inatumia Swahili na English lakini kuwatukana watanzania hawajui English ni makosa. Kwani English ni mother language yetu? Mbona wajeruman wanaishi bila hiyo English?