Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa kuangalia heti ni raisi au sijui nani, hii itakuwa ni pengo kwenye taifa kwa ujumla kwani mtu huyo kwasababu hana hoja wala maono hakuna atakacho kifanya kwenye nchi.
hivyo CCM tuzingatie demokrasia na haki kwenye kusimamisha mgombea anaye enda kuongoza taifa awe ni mtu chanya sana mwenye akili nyingi na mwenye maono pamoja na hoja, sio muweke tu mtu ili mradi muonekane na nyinyi mna mgombea kwasababu sisi kama watanzania hatutaki raisi ili mradi na sisi tuonekane tuna raisi bali tunataka raisi atakaye tuletea mabadiliko lakini lazima awe na hoja, awe na maono.
Hii pia ni kwa vyama vingine vya upinzani vinapaswa kuangalia watu sahihi wa kuwachagua kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi ujao.