CCM sio mtu mmoja ni zaidi hivyo inapaswa kuwa huru kusimamisha mgombea ambaye chama kizima kitamkubali sio eti muweke mtu kwasababu ni Rais

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Kuelekea uchaguzi mkuu nitoe wito kwa CCM kusimamisha mgombea ambaye watanzania wa chama hicho wata mchagua kuwakilisha chama mwenye hoja, mwenye uwezo na maono bora sio mnapitisha mtu kwa kuangalia heti ni raisi au sijui nani, hii itakuwa ni pengo kwenye taifa kwa ujumla kwani mtu huyo kwasababu hana hoja wala maono hakuna atakacho kifanya kwenye nchi.


hivyo CCM tuzingatie demokrasia na haki kwenye kusimamisha mgombea anaye enda kuongoza taifa awe ni mtu chanya sana mwenye akili nyingi na mwenye maono pamoja na hoja, sio muweke tu mtu ili mradi muonekane na nyinyi mna mgombea kwasababu sisi kama watanzania hatutaki raisi ili mradi na sisi tuonekane tuna raisi bali tunataka raisi atakaye tuletea mabadiliko lakini lazima awe na hoja, awe na maono.

Hii pia ni kwa vyama vingine vya upinzani vinapaswa kuangalia watu sahihi wa kuwachagua kuwania nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi ujao.
 
Kuna watu kipindi fulani walijitoa mhanga wakalisemea hili hadharani na mojawapo alikuwa Ngosha mmoja
 
Leo siku tatu kabla ya mkutano huo kuanza, wajumbe hawajui ni nani wanayekwenda kumthibitisha awe Makamo Mwenyekiti wao kwa upande wa Tanganyika.
 

Hilo haiwezekani. Maza kishawekeza sana kwa kutumia msaada wa Wajomba zake na madeal ya Bandari na Ngorongoro. Hujaona, Mabasi na pikipiki alizomwaga? Off course kuna watu watadai ni pesa ya Ruzuku... Wajinga peke yao wataamini hivyo.
 
Hilo haiwezekani. Maza kishawekeza sana kwa kutumia msaada wa Wajomba zake na madeal ya Bandari na Ngorongoro. Hujaona, Mabasi na pikipiki alizomwaga? Off course kuna watu watadai ni pesa ya Ruzuku... Wajinga peke yao wataamini hivyo.
kawekeza kwa pesa za nani na hao wajomba zake ni akina nani, sisi tulienda tukapigana vita na wakoloni tukachukua bandari yetu kwa damu kutoka kwa waingereza tukachukua ngorongoro kutoka kwa waingereza tukashangilia kuwa ni maendeleo leo hii mtu anagawa hizi rasilimali kwa waarabu mnaita ni maendeleo wewe huoni haupo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…