Uchaguzi 2020 CCM siyo kwamba imeamua kukaa kimya. Haina hoja na hakuna mwana CCM wa kumjibu Lissu

Uchaguzi 2020 CCM siyo kwamba imeamua kukaa kimya. Haina hoja na hakuna mwana CCM wa kumjibu Lissu

yaaani ccm hawajaongea chochote ila bado wana presha, sasa wakianza sjui mtajifichia wap, anyway fanya muwezalo lakini mwaka huu ndo mwisho wa cdm, natabiri makubwa sana kwa act na nccr, imefika stage jamaa wenu alipokua dodoma alibaki anapungia miti mkaona isiwe tab mkaanza kuhonga boda boda sasa mjiandae kwa shida
 
Mukianza kupigawatu risasi labda na kuwapiga wapinzanj mawe na kuwabambikizia watu kesi za kusingiziwa hivo ndivo munavo weza
 
Nani atasimama jukwaani, azungumze na akubalike kwa watanzania ili kumsaidia John kujibu hoja za mbeba maono? John hawezi kupangiilia hoja akaielezea na ikaeleweka. Anahitaji wasemaji wazuri.

Kulikuwa na vichwa mahili kama vile Nape, Kinana, Makamba Sr & Jr, Mwigulu na Bulembo. Lkn wote hawa John aliwashughulikia na kuwachafua kisiasa.

Yeyote kati ya hao akijitokeza kusema chochote ataonekana anajipendekeza, anajikomba na mwoga wa kushughulikiwa tena.
Kwasabb:
  • Nape alishikiwa bastola.
  • Kinana na Makamba Sr walitukanwa matusi kama yote na Musiba kisha Sauti zao zikadakwa wanamuita John mshamba.
  • Makamba jr alitumbuliwa kwa kushiriki kuandika waraka "mchafu"dhidi John.
  • Bulembo alilia kama mtoto bungeni akimshutumu Mpina wakati mitumbwi na nyavu zake vilipo shughulikiwa ipasavyo na huyu waziri kichaa. Lkn mwisho wa siku Bulembo akapuuziwa na John, halafu waziri kichaa akasifiwa sana.
  • Mwigulu huyu alivuliwa uwaziri kwa udhalilishaji mkubwa Sana kabla ya kurudishwa tena. Alitumbuliwa akiwa safarini, hivyo alinyang'anywa gari la uwaziri akiwa barabarani. Kwa sasa Mwigulu amepoa kama maji ya mtungini.
Sasa nani tena atawasikiliza hawa wafu wa kisiasa? Na ni nani basi mmbadala wa hao mwenye ushawishi anayeweza kumsaidia John kujibu hoja za Lissu?

Lakini John aliyataka mwenyewe acha jumba bovu limwangukie.
Mbona katambi hamkumjibu alisema mkitaka mdahalo yeye ndo size.yenu mkakaa kimya, Sasa mnataka Nani amjibu mpayukaji Lissu na huyo poyoyo wenu eti makamu wa rais mtarajiwa Salum Mwalimu?; CCM siyo wajinga kiasi hicho.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom