Uchaguzi 2020 CCM siyo kwamba imeamua kukaa kimya. Haina hoja na hakuna mwana CCM wa kumjibu Lissu

yaaani ccm hawajaongea chochote ila bado wana presha, sasa wakianza sjui mtajifichia wap, anyway fanya muwezalo lakini mwaka huu ndo mwisho wa cdm, natabiri makubwa sana kwa act na nccr, imefika stage jamaa wenu alipokua dodoma alibaki anapungia miti mkaona isiwe tab mkaanza kuhonga boda boda sasa mjiandae kwa shida
 
Mukianza kupigawatu risasi labda na kuwapiga wapinzanj mawe na kuwabambikizia watu kesi za kusingiziwa hivo ndivo munavo weza
 
Mbona katambi hamkumjibu alisema mkitaka mdahalo yeye ndo size.yenu mkakaa kimya, Sasa mnataka Nani amjibu mpayukaji Lissu na huyo poyoyo wenu eti makamu wa rais mtarajiwa Salum Mwalimu?; CCM siyo wajinga kiasi hicho.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…