Uchaguzi 2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

Kwa Tabora na ccm umenoa mkuu hapo umeongopa
 
mwenzako anafungasha kuelekea burundi...
 
mwenzako anafungasha kuelekea burundi...
Ulimaanisha Brussels nini? Nafikiri itakuwa busara kwa wingi wenu ule mlivyoenda kumpokea mumsindikize pia anapokuwa anarudi kwao pande za Brussels.

Usisahau kura yako ni muhimu sana mpigie kura JPM kwa MAENDELEO ya Tanzania

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ushindi wa mitandaoni , lakini ndiyo wakati wenu wa kujitekenya huu, baada ya tarehe 28 mtachekea chooni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…