Uchaguzi 2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

Uchaguzi 2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono , ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague tena ccm , chama kilichoshindwa kwa miaka 60 kuboresha maisha ya Wananchi .

Ushahidi huu hapa .

View attachment 1602089
Kwa Tabora na ccm umenoa mkuu hapo umeongopa
 
Acha mambo yako wewe Mungu kashuka Tanzania kwa kutuepusha na COVID 19 na hii inatokana na kuongozwa na Kiongozi mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na si mwingine ni Mzalendo wa kweli JPM.

October 28th tutampa kura kwa upendo na wivu Mkubwa shujaa huyu JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
mwenzako anafungasha kuelekea burundi...
 
mwenzako anafungasha kuelekea burundi...
Ulimaanisha Brussels nini? Nafikiri itakuwa busara kwa wingi wenu ule mlivyoenda kumpokea mumsindikize pia anapokuwa anarudi kwao pande za Brussels.

Usisahau kura yako ni muhimu sana mpigie kura JPM kwa MAENDELEO ya Tanzania

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ushindi wa mitandaoni , lakini ndiyo wakati wenu wa kujitekenya huu, baada ya tarehe 28 mtachekea chooni
 
Back
Top Bottom