madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Kwa Tabora na ccm umenoa mkuu hapo umeongopaUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono , ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague tena ccm , chama kilichoshindwa kwa miaka 60 kuboresha maisha ya Wananchi .
Ushahidi huu hapa .
View attachment 1602089