Uchaguzi 2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

Uchaguzi 2020 CCM Tabora hali tete, kampeni za CHADEMA zawachanganya, Waanza kuwadanganya wazee kwa vitambulisho vya matibabu ya bure, wazee wastuka!

Kuna wazee kule Dodoma walilalamika kuhusu matibabu. Ofisi ya Mkurugenzi kwa kutumia ofisi za Kata ikatuma wafanyakazi wao kuja kuchukua picha za wazee wote wa Jiji na baadae wakatengenezewa vitambulisho. Waliambiwa kuvitumia hivyo vitambulisho kila waendapo hospitalini ili kupata matibabu ya bure.

Cha kusikitisha ni kwamba hivyo vitambulisho havikubaliki mahali popote hata huko vilikotolewa! Sera ya Wazee ya 2003 ipo lakini hakuna Sheria yeyote ambayo inawawezesha Wazee kupata matibabu bure kama ilivyoainishwa katika Sera hiyo. Hivyo hata hao Wazee wa Tabora wajue kabisa hicho ni kiini macho tu. Watumie kichinjio chao kwa busara ili kuweza kupata haki zao na si vinginevyo.
 
Kuna wazee kule Dodoma walilalamika kuhusu matibabu. Ofisi ya Mkurugenzi kwa kutumia ofisi za Kata ikatuma wafanyakazi wao kuja kuchukua picha za wazee wote wa Jiji na baadae wakatengenezewa vitambulisho. Waliambiwa kuvitumia hivyo vitambulisho kila waendapo hospitalini ili kupata matibabu ya bure. Cha kusikitisha ni kwamba hivyo vitambulisho havikubaliki mahali popote hata huko vilikotolewa! Sera ya Wazee ya 2003 ipo lakini hakuna Sheria yeyote ambayo inawawezesha Wazee kupata matibabu bure kama ilivyoainishwa katika Sera hiyo. Hivyo hata hao Wazee wa Tabora wajue kabisa hicho ni kiini macho tu. Watumie kichinjio chao kwa busara ili kuweza kupata haki zao na si vinginevyo.
Duh!
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Hapo Tabora Chadema wanapoteza muda wao bure tu.
 
Acha mambo yako wewe Mungu kashuka Tanzania kwa kutuepusha na COVID 19 na hii inatokana na kuongozwa na Kiongozi mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na si mwingine ni Mzalendo wa kweli JPM.

October 28th tutampa kura kwa upendo na wivu Mkubwa shujaa huyu JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

Kiasi hiki cha ujinga kinatia kinyaa. Corona ipo - kwa africa haina madhara makubwa kama kwa wenzetu. Kwani umesikia nchi gani ya africa watu wanakufa kama wanavokufa huko ulaya na marekani??

Covid iko na watu wanaendelea kutest positive bila kuumwa na ndio maana hauoni. Nenda viwanja vya ndege ndio utajua kuwa taratibu zote za kisayansi zinafuatwa kuzuia maambukizi!!

Unachosema kinatokea Tz ndio hicho hicho kinatokea nchi nyingine. Tofauti ni kuwa tumekataa kupima na kutoa takwimu.

Jilinde na covid kwa sababu unaweza kuwa na ugonjwa mwingine na ukapata taabu. Unataja hofu ya Mungu?? Michango ya tetemeko Bukoba iliishia wapi??? Acha dhihaka kwa jina la Mungu!
 
Kiongozi anaye wakumbusha wananchi wenzake kumlilia Mungu ni wakumheshimu sana.

JPM ametuoneshea kuwa inapokuwa kwenye matatizo ya kukata tamaa jibu lipo ni KUMUOMBA MUNGU, unajuaje pengine maombi yetu wachache yameikomboa Africa

October 28th jura zote za ndio ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kiongozi anaye wakumbusha wananchi wenzake kumlilia Mungu ni wakumheshimu sana.

JPM ametuoneshea kuwa inapokuwa kwenye matatizo ya kukata tamaa jibu lipo ni KUMUOMBA MUNGU, unajuaje pengine maombi yetu wachache yameikomboa Africa

October 28th jura zote za ndio ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kwani Upinzani sio Wacha Mungu?
 
!
!
Nchi Ya Vitambulisho Yaani.

1. Cha NIDA

2. Cha Ujasilia Mali.

3. Cha Wazee.

4. Cha Kupiga Kura.

5.
 
Kwani Upinzani sio Wacha Mungu?
Wao walikimbia bungeni kwenda Hotelini kujificha wakidhani watakiwa salama, wakahimiza wananchi wafanyiwe Lockdown lakini JPM akakataa.

Najiuliza watu wangeishi vipi bila kutafuta pesa, kwakweli Mungu ampiganie JPM na atashinda tuu.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Jifunze kitu kwenye kampeni za CCM zote zinalenga vijana, mbumbu wanasema ni fiesta, asiyejua maana haambiwi.
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague tena CCM, chama kilichoshindwa kwa miaka 60 kuboresha maisha ya Wananchi .

Ushahidi huu hapa.

Meko tar 28 Oct anatemeshwa kiazi cha moto,anarudi kwao kuvua SANGARA.
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague tena CCM, chama kilichoshindwa kwa miaka 60 kuboresha maisha ya Wananchi .

Ushahidi huu hapa.

Hehehe wameshachelewa. Huko akina kigwanomics na Bashe walilala sana na akina sita wakawaona wale wanyanyembe, wasukuma, wafipa na waha kama hawana akili.
 
Back
Top Bottom