CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Shahidi wa kwanza huyu hapa amepatikana.

Yaani Chadomo ni waropokaji.

JPM 2020- 2025

CCM USHINDI NI JADI
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Safi Sana. Tena na maiti ingechomwa Moto kabisa. Wasirudie tena watakwisha.
 
Baada ya kimya kingi kwa waliouawa ndio anaibukia huku?
Wauaji ni wauaji tu wasakwe popote walipojificha ila kwa double standards za rais ndio jibu la kugharamika anakogharamika kwenye hizi kampeni.
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Sasa na wao watasakwa, watakamatwa na watashughulikiwa kikamilifu na dola.
 
Bwashee huyo alipewa hela na CCM kwenda kununua wagombea udiwani wa Chadema Ludewa wananchi wenye hasira wakampa kipigo kitakatifu hadi akafa. Biashara ya kununua wanasiasa mliyoipa kipaumbele imepata dawa!
Mtatajana jombii
 
Naunga mkono kuwa hao waalifu watafutwe. Lakini hayo maagizo yaa mkuu yako kama yameegemea upande mmoja.
Mbona matukio mengi yalishawahitokea yakiwepo ya mgombea urais, lakini hakutoa maagizo yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…