PreGE2025 CCM Tanga yatishia kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na rushwa Uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimetangaza kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na vitendo vya rushwa katika harakati za kuwania nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Akizungumza wakati akikagua ukarabati wa Jengo la CCM, Mwenyekiti wa chama hicho Mkoani hapa na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Rajab Abdulrahman amesema chama hicho hakita mvumilia mtu yoyote atakaye bainika kutoa rushwa Wakati wa uchaguzi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hata hivyo Meneja wa Ukarabati wa Jengo la Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Tanga Amoni Kyomo akazungumzia ujenzi huo na lini utakamilika huku Katibu wa CCM Mkoani hapa Mfaume Kizigo amesema chama imara lazima kiwe na jengo zuri na nyumba za watumishi.

CCM na rushwa ni kitu kimoja.....Hilo tangazo linawakumbusha wagombea kuongeza Dau la rushwa
 
CCM na rushwa tena,labda pale wanapozidiana nguvu
 
Back
Top Bottom