CCM tuambieni hivi mnaenda mbele au mnarudi nyuma?

Samiah mwenyewe ni zao la Magufuri na aliyemweka hapo ni Magufuri.
Magufuri alimteua Samiah kuwa mgombea mwenza 2015 hadi 2021 kwa vile hakupenda kushauriwa.Na yote aliyokuwa amefanya kwa muda huo Samiah aliyakopi na kupaste.Ndiyo utekaji haujaisha.
 
Magufuri alimteua Samiah kuwa mgombea mwenza 2015 hadi 2021 kwa vile hakupenda kushauriwa.Na yote aliyokuwa amefanya kwa muda huo Samiah aliyakopi na kupaste.Ndiyo utekaji haujaisha.
Unazidiwa akili na sisimizi
 
We nenda mbele ya ccm Kisha inama; utapa tu jibu km wanaenda au wamesimama
 
Hivi na Marangi nae ile barua yake kwa taasisi ilikua yakuombea hela ya kusaidia uchahuzi hawajawahi kusema walishakusanya kiasi gani
 
Wanachama lazima wachangie chama Chao
 
hakuna chama cha siasa kisichofanya fund raising kwa ajili ya uchaguzi, hata billionnaire DJT, alifanya fund raising
(Billionaire Elon Musk spent at least $288 million to help elect President Donald Trump and other Republican candidates), billionnaires wanamchangia billionnaire na chama chake cha Republican kwa ajili ya kampeni
 
Mwaka 2020 ccm ilifanya fundraising wapi?
 
Mwaka 2020 ccm ilifanya fundraising wapi?
Sipingi fund raising, ila njia inayotumiwa na ni watu gani wana changia?? ni watu wachache sana wenye nguvu ya uchumi i.e wenye chama wamewekwa pembeni, hawa majoriy ndyo wamekifikisha chama kwenye mafanikio, kwa michango yao ya mkudunduliza.
 
Mwizi wa Escrow ndiyo mchangiaji mkubwa wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…