MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Bora nicheke niongeze siku za kuishi mkuu.Usicheke
Bora nicheke niongeze siku za kuishi mkuu.Usicheke
Magufuri alimteua Samiah kuwa mgombea mwenza 2015 hadi 2021 kwa vile hakupenda kushauriwa.Na yote aliyokuwa amefanya kwa muda huo Samiah aliyakopi na kupaste.Ndiyo utekaji haujaisha.Samiah mwenyewe ni zao la Magufuri na aliyemweka hapo ni Magufuri.
Unazidiwa akili na sisimiziMagufuri alimteua Samiah kuwa mgombea mwenza 2015 hadi 2021 kwa vile hakupenda kushauriwa.Na yote aliyokuwa amefanya kwa muda huo Samiah aliyakopi na kupaste.Ndiyo utekaji haujaisha.
We nenda mbele ya ccm Kisha inama; utapa tu jibu km wanaenda au wamesimamaUchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!.
Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?
Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
Hivi na Marangi nae ile barua yake kwa taasisi ilikua yakuombea hela ya kusaidia uchahuzi hawajawahi kusema walishakusanya kiasi ganiUchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!.
Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?
Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
Ndiyo.Kwani sisimizi yeye siye kiumbe cha Mungu?Kama sisimizi anamuua tembo kwa maarifa yake mimi ni nani nibishe?Chanzo cha matatizo ya leo ni Magufuri hilo halina ubishi.Unazidiwa akili na sisimizi
DuhNdiyo.Kwani sisimizi yeye siye kiumbe cha Mungu?Kama sisimizi anamuua tembo kwa maarifa yake mimi ni nani nibishe?Chanzo cha matatizo ya leo ni Magufuri hilo halina ubishi.
Bakheresa alichangiwa lini?Hata Bakhresa anachangiwa bwashee 😂
Hata Bakhresa anachangiwa bwashee 😂
Wanachama lazima wachangie chama ChaoUchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!.
Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?
Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
Lengo lake hasa ni niniHarambee hiyo ni danganya toto!
Waliochangia ni wanachama au mafisadi makwepa kodi?Wanachama lazima wachangie chama Chao
hakuna chama cha siasa kisichofanya fund raising kwa ajili ya uchaguzi, hata billionnaire DJT, alifanya fund raisingUchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!.
Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?
Rais Samia ana hela za kugawa baiskeli na pikipiki nchi nzima ila kumbe chama chake hakina hela?
Kwa kweli inasikitisha sana kwa akili za aina hii za viongozi wetu.
Zilinunua vipodozi vya wajumbetunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato wa uchaguzi na inaomba msaada kwa wadau waichangie angalau billion 100!!!!.
Wanachama,mafisadi ni kina nani? Kwani matajiri hawatakiwi kuwa wanachama ila nyie mafukara?Waliochangia ni wanachama au mafisadi makwepa kodi?
Lengo ni kuonyesha mbogamboga ni chama kinachangiwa na wananchi na kinapendwaLengo lake hasa ni nini
Mwaka 2020 ccm ilifanya fundraising wapi?hakuna chama cha siasa kisichofanya fund raising kwa ajili ya uchaguzi, hata billionnaire DJT, alifanya fund raising
(Billionaire Elon Musk spent at least $288 million to help elect President Donald Trump and other Republican candidates), billionnaires wanamchangia billionnaire na chama chake cha Republican kwa ajili ya kampeni
MhLengo ni kuonyesha mbogamboga ni chama kinachangiwa na wananchi na kinapendwa
Sipingi fund raising, ila njia inayotumiwa na ni watu gani wana changia?? ni watu wachache sana wenye nguvu ya uchumi i.e wenye chama wamewekwa pembeni, hawa majoriy ndyo wamekifikisha chama kwenye mafanikio, kwa michango yao ya mkudunduliza.Mwaka 2020 ccm ilifanya fundraising wapi?
Mwizi wa Escrow ndiyo mchangiaji mkubwa wa ccmSipingi fund raising, ila njia inayotumiwa na ni watu gani wana changia?? ni watu wachache sana wenye nguvu ya uchumi i.e wenye chama wamewekwa pembeni, hawa majoriy ndyo wamekifikisha chama kwenye mafanikio, kwa michango yao ya mkudunduliza.