ccm ilishakufa hili somo likieleweka kwa tume na polisi baaassJana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili kuwe na uchaguzi ulio huru basi marekebisho kwanza yafanyike kwenye Tume huru. Tatu waliunga dhana ya No reform No election na dhana hii kwa kweli imekwishaenea kwa vijana wengi nchini na hivyo kama Wana CCM inatubidi tujipange kuwaelemisha wananchi juu ya dhana hii.
Kama inavyoonekana mwaka huu wapiga kura wengi watakuwa vijana. Vijana safari hii wamepata mwamko mkubwa sana. CCM tujipange.
Ahsante kachukua hela yako LUMUMBALisu mwenyewe kaikataa tayari iyo agenda ya chama chake.ndio maana kaamua kutangaza nia ya kugombea urais.sasa sijui hao vijana unaowasema ni kina nani na wanamuunga mkono nani!
ulisoma mpaka darsa la ngapi huko ulikofundishwa ujinga huuLisu mwenyewe kaikataa tayari iyo agenda ya chama chake.ndio maana kaamua kutangaza nia ya kugombea urais.sasa sijui hao vijana unaowasema ni kina nani na wanamuunga mkono nani!
Kweli umewapa mwanga kwa sababau wamebanwa mpaka kooni. Vijana wa leo sio wanavyowafikiria wameamka. Kuna kijiwe cha vijana CCM nakionaga mahali anzia Lissu alivyoingia mtaani na kupaza sauti kwa ajili ya wanyonge kimesambaratika. Tena kila mmoja anamkwepa mwenzie.Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili kuwe na uchaguzi ulio huru basi marekebisho kwanza yafanyike kwenye Tume huru. Tatu waliunga dhana ya No reform No election na dhana hii kwa kweli imekwishaenea kwa vijana wengi nchini na hivyo kama Wana CCM inatubidi tujipange kuwaelemisha wananchi juu ya dhana hii.
Kama inavyoonekana mwaka huu wapiga kura wengi watakuwa vijana. Vijana safari hii wamepata mwamko mkubwa sana. CCM tujipange.
vijana hawatapiga kura. Nimekaa pale naangalia
WEWE SIO CCM.Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili kuwe na uchaguzi ulio huru basi marekebisho kwanza yafanyike kwenye Tume huru. Tatu waliunga dhana ya No reform No election na dhana hii kwa kweli imekwishaenea kwa vijana wengi nchini na hivyo kama Wana CCM inatubidi tujipange kuwaelemisha wananchi juu ya dhana hii.
Kama inavyoonekana mwaka huu wapiga kura wengi watakuwa vijana. Vijana safari hii wamepata mwamko mkubwa sana. CCM tujipange.
Wa CCM alikuwa anakimbilia kufundisha historia, refa alkamridisha kwenye mada.WEWE SIO CCM.
Vijana ninaokutana na kuongea nao wanasema watapiga kura.vijana hawatapiga kura. Nimekaa pale naangalia
ChaiVijana ninaokutana na kuongea nao wanasema watapiga kura.
Ila nimeshangaa kitu kimoja. Bibi flani, ni jirani yangu, nilimsikia kabisa akisema "safari hii siendi kupiga kura, tangu nipige kura nimepata nini?. Hao tunaowapigia kira siwanaenda kujilia tu". Maeneo tunayoishi na huyo jirani bibi, tangu uhuru ndio tumepata barabara ya lami mwaka jana. Maji unayapata mtoni.
Maua mkuu πππππππππππulisoma mpaka darsa la ngapi huko ulikofundishwa ujinga huu