CCM tukatae tukubali suala la October 29 limetuachia doa na kutuchafua na kushusha heshima kama chama tawala

CCM tukatae tukubali suala la October 29 limetuachia doa na kutuchafua na kushusha heshima kama chama tawala

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Suala la October 29 limetuchafua kama chama najua sasa hivi tuko kwenye majuto japokua hatuwezi kutoka na kukili mbele ya kadamnasi. Unaenda kwenye uchaguzi mkuu wa chama wakati mwenyekiti wa chama kikubwa cha Upinzani yuko jela?

Mnaenda kwenye uchaguzi mnafanya mauaji ya watoto wadogo wazee bila sababu ya msingi kwa kisingizio cha kwamba vijana walikua vibaka wezi Je vibaka na wezi haki yako ni kupigwa risasi? Sasa hivi tunaweza kua tunakumbuka maneno ya Polepole zama zimebadilika kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Je mwisho wa CCM umefika?

Wananchi hawawezi kusahau kwa yaliyotokea October 29 maana waliouawawa kwenye matukio ya mauaji ni ndugu na jamaa zetu CCM kutoka chama cha kisiasa na kua chama cha mauaji na Ufisadi. CCM zama za hawa wazee ambao hawana maadili kufukuzwa kwenye chama zimefika fukuza wote wakina Jk na wasira ambao kwa ajili ya matumbo yao na familia zao umefika mwisho. Hakuna mwana CCM yoyote mwenye akili timamu anaeunga mkono mauaji ya October 29 labda CCM maslai tu CCM inataitaji kupitisha Chujio kama chama kupata watu smart and cream wa kwa ajili ya kuzaa sera kwa wananchi zama za Ubabaishaji umefika mwisho mambo ya kufanya siasa umejificha kwenye vyombo ya dola zimepitwa na Wakati
 
1. Acha kuisemea ccm maana hujui lolote

2. Kwani waliowatuma kufanya vurugu wenyewe hawajutii au ndo wamepata ajenda ya kisiasa?
 
Suala la October 29 limetuchafua kama chama najua sasa hivi tuko kwenye majuto japokua hatuwezi kutoka na kukili mbele ya kadamnasi. Unaenda kwenye uchaguzi mkuu wa chama wakati mwenyekiti wa chama kikubwa cha Upinzani yuko jela? Mnaenda kwenye uchaguzi mnafanya mauaji ya watoto wadogo wazee bila sababu ya msingi kwa kisingizio cha kwamba vijana walikua vibaka wezi Je vibaka na wezi haki yako ni kupigwa risasi? Sasa hivi tunaweza kua tunakumbuka maneno ya Polepole zama zimebadilika kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Je mwisho wa CCM umefika? Wananchi hawawezi kusahau kwa yaliyotokea October 29 maana waliouawawa kwenye matukio ya mauaji ni ndugu na jamaa zetu CCM kutoka chama cha kisiasa na kua chama cha mauaji na Ufisadi. CCM zama za hawa wazee ambao hawana maadili kufukuzwa kwenye chama zimefika fukuza wote wakina Jk na wasira ambao kwa ajili ya matumbo yao na familia zao umefika mwisho
Yaani hata tukio la Lissu kuwa Jela labda ni dogo.

Komesha ya yote ilikuwa, KUMTEKA MDUDE na POLEPOLE na kuacha DAMU zimechuruzika.

Kumpiga NONDO PADRE KITIMA.

Yaani kwa Samia ni kama MAJINI yalikuwa yanataka DAMU, hiyo Oktoba 29 ilikuwa ni kilele cha MAUAJI.
 
downloadfile-1.png
 
Yaani hata tukio la Lissu kuwa Jela labda ni dogo.

Komesha ya yote ilikuwa, KUMTEKA MDUDE na POLEPOLE na kuacha DAMU zimechuruzika.

Kumpiga NONDO PADRE KITIMA.

Yaani kwa Samia ni MAJINI yalikuwa yanataka DAMU, hiyo Oktoba 29 ilikuwa ni kilele cha MAUAJI.
Ni ujinga na upumbavu
 
Utekaji
Kupoteza watu
Kesi zinazo lenga kuwafumba watu midomo
Kiburi
Dharau
Ufisadi
Kujiona miungu watu
Na taka taka nyingine ambazo hazikuwa sehemu ya watanganyika ndicho chanzo Cha haya yote.

Mliwachukulia poa sana watanganyika ngoja wawaoneshe
 
Suala la October 29 limetuchafua kama chama najua sasa hivi tuko kwenye majuto japokua hatuwezi kutoka na kukili mbele ya kadamnasi. Unaenda kwenye uchaguzi mkuu wa chama wakati mwenyekiti wa chama kikubwa cha Upinzani yuko jela? Mnaenda kwenye uchaguzi mnafanya mauaji ya watoto wadogo wazee bila sababu ya msingi kwa kisingizio cha kwamba vijana walikua vibaka wezi Je vibaka na wezi haki yako ni kupigwa risasi? Sasa hivi tunaweza kua tunakumbuka maneno ya Polepole zama zimebadilika kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Je mwisho wa CCM umefika? Wananchi hawawezi kusahau kwa yaliyotokea October 29 maana waliouawawa kwenye matukio ya mauaji ni ndugu na jamaa zetu CCM kutoka chama cha kisiasa na kua chama cha mauaji na Ufisadi. CCM zama za hawa wazee ambao hawana maadili kufukuzwa kwenye chama zimefika fukuza wote wakina Jk na wasira ambao kwa ajili ya matumbo yao na familia zao umefika mwisho. Hakuna mwana CCM yoyote mwenye akili timamu anaeunga mkono mauaji ya October 29 labda CCM maslai tu
Kwani Marekani kuna nini mbona watu wamekuwa wakali kuhusu VIZA NJOONI URUSI TU
 
Wametumwa na nani? Yaan muache kuwasikiliza watu, waki retaliate mnadai wametumwa’? Kwamba mtanzania hawezi amua lolote mpaka awezeshwe? Pathetic idiots
Watu bado wanamawazo Mgando namna hiyo kwamba watu hawawezi kuwaza uhuru
 
Onyesha wapi zimetokea kura 31m.
Nina Imani CCM tungefanya mabadiliko na kwenye Tume tukaweka mtu anaekubalika bado uchaguzi tungeweza kushinda chadema japokua ushindi mwembamba sana
 
Onyesha wapi zimetokea kura 31m.
1. Uchaguzi huo haukuwahusu maana hamkushiriki, kuna shida gani?

2. Usipinge takwimu bila utafiti..
-inec wamesema ni kura 31m, na walioshiriki kura hawakupinga, nyie zilikuwa ngapi? Ndo mseme.
 
Back
Top Bottom