Suala la October 29 limetuchafua kama chama najua sasa hivi tuko kwenye majuto japokua hatuwezi kutoka na kukili mbele ya kadamnasi. Unaenda kwenye uchaguzi mkuu wa chama wakati mwenyekiti wa chama kikubwa cha Upinzani yuko jela?
Mnaenda kwenye uchaguzi mnafanya mauaji ya watoto wadogo wazee bila sababu ya msingi kwa kisingizio cha kwamba vijana walikua vibaka wezi Je vibaka na wezi haki yako ni kupigwa risasi? Sasa hivi tunaweza kua tunakumbuka maneno ya Polepole zama zimebadilika kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Je mwisho wa CCM umefika?
Wananchi hawawezi kusahau kwa yaliyotokea October 29 maana waliouawawa kwenye matukio ya mauaji ni ndugu na jamaa zetu CCM kutoka chama cha kisiasa na kua chama cha mauaji na Ufisadi. CCM zama za hawa wazee ambao hawana maadili kufukuzwa kwenye chama zimefika fukuza wote wakina Jk na wasira ambao kwa ajili ya matumbo yao na familia zao umefika mwisho. Hakuna mwana CCM yoyote mwenye akili timamu anaeunga mkono mauaji ya October 29 labda CCM maslai tu CCM inataitaji kupitisha Chujio kama chama kupata watu smart and cream wa kwa ajili ya kuzaa sera kwa wananchi zama za Ubabaishaji umefika mwisho mambo ya kufanya siasa umejificha kwenye vyombo ya dola zimepitwa na Wakati